Bilioni 50 kujenga km 2 za Barabara. Kristo uturehemu

Kabisa linapokuja swala la kuitetea Zanziber, wanaungana wote kuwa wamoja,huwezi kiona mibara,kina Kabudi wakilifanya hili.
 
Ndo maana tunawashangaa watanganyika wenzetu wanaowasaidia kututeka na kwenda kutuua
 
Ndugu mimi sijui mambo ya gharama ila hio barabara asili yake ilikua ni bahari ikafanyiwa land reclamation sasa hapo kuijenga tena upya inahitaji umakini wa hali ya juu sanaa huko chini kuna mitaro mtu unasimama kabisaa

Zanzibar ni njema atakae aje
 
Zanzibar wameamua kuifilisi Tanganyika marais wote wanatoka Zanzibar na wanafanya wapendavyo hakuna wa kuwazuia.
 
Naziona dalili za kuvunjika huu muungano wa mchongo, ikifika 2030 huyu fisadi mke akimaliza term yake na muungano chali, Wazanzibari wameichuna sana Tanganyika kwa miak 10 ya kizimkazi hivyo hawatakuwa na haja tena na Muuungano.
 
Hela za Tanganyika zimehamishiwa Zanzibar. Sasa wanajenga KM mbili za Barabara kwa Bilioni 50+
Hakuna popote pameonyesha ni fedha za JMT, hizi ni fedha zao za SMZ
Hiki ni kipalande cha Barabara kinachopita kwenye nyumba mpya ya Samia Suluhu Hassan...
Rais Samia pia ni Mtanzania, ana haki zote kumiliki mali mahala popote kama Mtanzania mwingine yeyote, hivyo kama barabara hiyo inapita mbele ya nyumba yake, ni halali yake.

Ingekuwa SMZ imetenga bajeti hiyo kujenga barabara ya kule kijijini kwake Kizimkazi kwasababu ya Samia tuu, hapo ungekuwa na uhalali wa kuhoji, hii ni barabara ile inayotoka Darajani kwenda BOT, ni kama ilivyo Sokoine Drive.
Tupunguzeni taarifa za uchimvi kufanya nongwa kila kitu cha Samia!.

Na kwa vile Rais Samia, ndie rais wa JMT, serikali ya JMT ina haki, kumjengea chochote kijijini kwake kama tulivyomfanyia Nyerere Msasa na Butiama, Mwinyi pale Mikocheni B, Mkapa pale Upanga, Lushoto na Masaki, JK pale Regent, Msoga na Masaki, Magufuli Chato, na sasa ni zamu ya Samia Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!

Unaweza uka compare and contrast uwekezaji wa Chato vs Kizimkazi?, ile lami ilikuwa ipite Biharamulo, ikachepushwa!, Uwanja wa ndege ulikuwa ujenhwe Omukanjuguti, ukajengwa Chato!, Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!, hata reli ya SGR mwanzo haukuwepo sasa itapita Chato!.

P
 
Halafu Samia hela kazipeleka Zanzibar eti ni Pesa za AFCON.. Wapambe wanahoji mbona Arusha uwamja unajengwa kwa Bilioni 300+?

Tatizo ni thamani ya mradi na hela zillizotumika. Je, vinaendana?
 
Katiba mpya yataka utashi wa kisiasa. Wanataka kwamba watumie miaka mitatu kutoa elimu watu wajue katiba iliyopo.. Hujasikia hiyo? Katiba mpya ni Kitanzi kwake.. Hata nguvu ya ziada itumie
Si kweli, mchakato utaanza ndani ya siku 100 za kwanza Asante Rais Samia hotuba mwaka mpya, kubwa kuliko yote ni la kuanza kwa mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100, itawezekana? pia hapa Waungwana Wakiahidi, Wanatekeleza!, Rais Samia Aliahidi Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya, Ndani ya Siku 100 za Kwanza, Je Atatekeleza?

P
 
Bajeti ya Zanzibar sio b 400. Mwaka huu inafika T 6
 

Attachments

  • Screenshot_2026-05-30-21-43-05-590_com.android.chrome.jpg
    247.9 KB · Views: 14
Ndugu mimi sijui mambo ya gharama ila hio barabara asili yake ilikua ni bahari ikafanyiwa land reclamation sasa hapo kuijenga tena upya inahitaji umakini wa hali ya juu sanaa huko chini kuna mitaro mtu unasimama kabisaa

Zanzibar ni njema atakae aje
Sass mbona maji ya mvua yana jaaa si yange ondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…