Bilioni 50 kujenga km 2 za Barabara. Kristo uturehemu

Hadi 2029...CCM itakuwa ni kama kumsukuma mlevi...mambo mengi sana ikiwemo mfumuko wa bei na miundo mbinu iliyoharibika...

Sadly kule bungen ni kusifu na makofi tu...kumbe walipaswa rekebisha makosa yaliyowagharim 2025...

Ile ya 2025 haitakaa itokee tena wataondoka wao ccm sio watu tena kufa!
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kuna wenzetu waliuwawa October 29 kwa kupinga huu ufala.
 
Kabla ya kuwaongezea ujinga mwengine wapuuzi wenzako hivi unajua hiyo project ni PESA za msaada.. Sasa hizo PESA za Tanganyika zimetoka wapi? Yaani Kila kukicha mnafikiria uzishi tu
 
Watu wote wenye akili duniani wanaishi visiwani, ndio maana kisiwa cha uingereza kiliweza kuitawala dunia ambayo watu wengi wako bara. Wazanzibari lazima wawatawale wabara kutokana na watu wake kukosa akili. Askari wa bara wanawatwanga risasi za vichwa wabara wenzao kama wanaua nyoka. Mwaka 2001 kulitokea vurugu za CUF pemba, hakuna askari mzanzibari aliyemtwanga risasi mzanzibari mwenzie, walokuwa wanawapiga risasi wapemba ni askari kutoka bara. Askari wa bara wamewatwanga risasi ndugu zao huku wakisaidiwa na wazanzibari kisa maandamano. Na wabara walivyo wajinga wanambebesha lawama mama wa watu samia kwamba muuaji. Nyie wenye hamthaminiani halafu mnataka mzanzibari awathamini, huko ni kukosa akili. Kila siku kelele za Abdul anawateka wakati yeye ameshaona wabara hovyo anawatuma tu kama mbwa wang'atane wenyewe.
Zanzibar wapo kimkakati huku waTanganyika wakiwa usingizini...
Ni hivi, maisha ni mafupi... Na mafanikio ya kijamii, kiuchumi, kisiasa n.k hayaletwi na MUNGU!
Wa
 
Uturehemie...
 
Kwa vyovyote hamie mtangazaji atakua kakosea kutamka tarakimu. Haiwezekani kilometa 2 za barabara kwa bilion 50 hamie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…