Bilioni 57 kuwekeza majengo katika Kozi ya urubani,Mbona mnachezea pesa ,Pale Chato kile kiwanja kinazidi kujifia

Bilioni 57 kuwekeza majengo katika Kozi ya urubani,Mbona mnachezea pesa ,Pale Chato kile kiwanja kinazidi kujifia

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Leo nilikuwa na mtu mmoja tuliongea mambo mengi kuhusu nchi yetu kuwa na kundi kubwa la CCM wajinga ndio wanaotawala.

Nimeona NIT na serikali kuweka mabilioni ya pesa NIT maswala ya anga.

Udogo wa kile chuo ,kwa nini wasiopeleke Kiwe chato hapo maana kiwanja kilishindikana kuwa na safari na kilijengwa kwa pesa nyingi.
20251223_192156.jpg
 
Wangenipa scholarship hata nisomee PPL tu ya urubani ningefurahi San
 
Back
Top Bottom