The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Msimamizi wa Barabara ya Iringa Kilolo Injinia Salumu Mwinuka amesema kuwa marekebisho yaliyotumika kukamilisha mradi wa barabara hiyo ya Iringa Kilolo ni zaidi ya Bilioni 60 kuanzia matengenezo hayo yalivyoanza hadi lkufikia hivi sasa ambapo mradi huo umebakiza asilimia chache kukamilika.
"Barabara hii inahusisha madaraja mawili, makaravati kumi na moja (11), karavati za duara laini hamsini na nne (54), inahusisha pia ujenzi wa mitaro ya barabara za pembeni na kulia, itahusisha pia taa za barabarani" Alisema msimamizi wa mradi huo Injinia Salumu Mwinuka wakati alipotembelewa na timu ya MAMA HADA NEDI inayoongozwa na msanii