Bill Cosby kutolewa jela na makosa yake yamefutwa

Bill Cosby is very Conservative old school so democrats wakamfix .
 
Kama ataonekana hakuwa na hatia ina maana itabidi wamlipe pesa nyingi sana...
Case yake ilikuwa Democratic prosecutor alipokuwa ana campaigh akawaambia watu mkinichagua tu nitamweka bil mk Cosby ndani that aid against constitution na thanks god kuna Supreme Court
 
Kama yamemkuta Bill Cosby kuna aliesalama.
Billy Cosby aliungwa tu akaliwa kichwa.
Kina R,Kelly wanasota tu mahabusu, hivi vimbususu vishamkude vikileta mbunyenye zao unaacha vipi kwamfano?
Peleka moto kwanza maswali mengine badae
 
Pamoja na Eddie Murphy. Ila jamaa namsifu aliahidiwa akikiri na kukubali alibaka anfaxhiwa mapema mwaka huu la sivyo atakaa jela hadi miaka 10. Akakataa na kuamua kukaa jela iyo miaka 10.

Ni kama tu Rugemalila wajaribu wapi
 
Ni kuishi na hawa wenzetu kwa machale, hata kumuadhibu mwanao inabidi pia uwe mwangalifu, la sivyo utakosa kila kitu.
Yani hata kumuamgalia mtu ni kosa ukimgusa kwa bahati mbaya ya utani unashtukiwa na kama Kuna picha hata ya miaka mingapi ukishtakiwa unakuwa in trouble
 
Pamoja na Eddie Murphy. Ila jamaa namsifu aliahidiwa akikiri na kukubali alibaka anfaxhiwa mapema mwaka huu la sivyo atakaa jela hadi miaka 10. Akakataa na kuamua kukaa jela iyo miaka 10.

Ni kama tu Rugemalila wajaribu wapi
Hee?! Kwn Eddy Murphy yuko jela??
 
Pamoja na Eddie Murphy. Ila jamaa namsifu aliahidiwa akikiri na kukubali alibaka anfaxhiwa mapema mwaka huu la sivyo atakaa jela hadi miaka 10. Akakataa na kuamua kukaa jela iyo miaka 10.

Ni kama tu Rugemalila wajaribu wapi

Wewe hebu ongea vitu kwa facts na sio ushabiki
Eddie Murphy ndo alikataa kabisa kushiriki kumponda Bill Cosby Kwenye media Hadi Cosby akamshukuru..
Leo unakuja kuongea nini?
 
Watu wanakoment bila kusoma.

Yaani kwavile heading imesema kaachiwa raia wamejiongeza kwamba ni kasingiziwa.
 
Ukitoka hapo huna hata mia mfukoni
 
Nyani Ngabu njoo utie neno huku kuhusu kuachiwa kwa Cosby baada ya yeye mwenyewe kutoa ushahidi kuhusu kutumia madawa kulala na wanawake mbali mbali.
 
Nyani Ngabu njoo utie neno huku kuhusu kuachiwa kwa Cosby baada ya yeye mwenyewe kutoa ushahidi kuhusu kutumia madawa kulala na wanawake mbali mbali.
Yessir!

Cosby kaachiliwa huru si kwa sababu hana/ hakuwa na hatia!

Kaachiliwa kwa sababu ya technicality tu.

Kulikuwa na violation ya due process.

Ndo uzuri na ubaya wa kufuata sheria.

Hata kama mtu ni kweli katenda kosa, huwezi tu kumfunga jela bila kufuata taratibu za kisheria zilizopo.

Ukimfunga jela bila kufuata mchakato wa kisheria, mtu huyo anaweza kushinda rufaa ya yeye kupinga mchakato uliotumika kumfunga endapo mchakato huo haukufuata sheria.

Kwa hiyo Bill Cosby kuachiwa, hakuhusuani kabisa na ukweli au uongo wa tuhuma dhidi yake.

Kama ulivyosema, ni kweli yeye mwenyewe alisema kuhusu kutumia hayo madawa kuwalala wanawake.

Lakini sheria ni lazima ifuatwe katika kila hatua ya mchakato wa kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…