BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
110% accurate Sir. 👍🏽
Yessir!
Cosby kaachiliwa huru si kwa sababu hana/ hakuwa na hatia!
Kaachiliwa kwa sababu ya technicality tu.
Kulikuwa na violation ya due process.
Ndo uzuri na ubaya wa kufuata sheria.
Hata kama mtu ni kweli katenda kosa, huwezi tu kumfunga jela bila kufuata taratibu za kisheria zilizopo.
Ukimfunga jela bila kufuata mchakato wa kisheria, mtu huyo anaweza kushinda rufaa ya yeye kupinga mchakato uliotumika kumfunga endapo mchakato huo haukufuata sheria.
Kwa hiyo Bill Cosby kuachiwa, hakuhusuani kabisa na ukweli au uongo wa tuhuma dhidi yake.
Kama ulivyosema, ni kweli yeye mwenyewe alisema kuhusu kutumia hayo madawa kuwalala wanawake.
Lakini sheria ni lazima ifuatwe katika kila hatua ya mchakato wa kesi.