Mkataba wa nauzo ukoje, huenda hakuna kupengele kunachosema au kudai hao madai yako ....Habar wandugu,,,,,,hawa jamaa wakuitwa Anostore muwe nao makini Kuna machine zao za kuhesabia pesa bill counter wanauza,,,zina changamoto ya kugundua pesa fake...juzi nimechukua moja inanisumbua na mwambia boss wao kagoma kurudisha... nifanyeje wadau????View attachment 3494559
Mkuu sema tu ulitaka tujue una mashine ya kuhesabia pesa.Habar wandugu,,,,,,hawa jamaa wakuitwa Anostore muwe nao makini Kuna machine zao za kuhesabia pesa bill counter wanauza,,,zina changamoto ya kugundua pesa fake...juzi nimechukua moja inanisumbua na mwambia boss wao kagoma kurudisha... nifanyeje wadau????View attachment 3494559
OK,nahisi ubora wake utakua mdogoLaki mbili