Bill gates ala wali maharage

Bill gates ala wali maharage

super black

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
566
Reaction score
533
Haya sasa yeye kala wali maharage wewe uku huna ata hela kula chips na mayai mara kuku wakati mfukoni huna kitu
NB:billgates akila wali maharage na wanafunzi wa kicheba primary school uko muheza
d53cf18d8441c01e86c4661618501fc4.jpg
2c3a10f414811c6f800d6c4f93ce65f4.jpg


Mungu Ni Mwema
 
Alikula wali maharage pamoja na wanafunzi hao.
Ni mfano wa kuigwa, kuwa matajiri wawe na mda wa kujichanganya na masikini kwenye baadhi ya matukio.
Ili kujifunza na ikiwezekana kusaidia katika miradi mihimu ya kijamii.
 
hivi unajua kuna wabongo wanakula hela za bill gates na tuko nao hapahapa bongo bahati mbaya?!! kuna wahuni morogoro wana mradi wa mabusha ya panya buku, juzi melinda gates kaja kimya kimya kukagua na akaacha mlungula.
 
Back
Top Bottom