Bill gates ala wali maharage

Bill gates ala wali maharage

Naskia kafungua a/c ya instagram leo kwa mara ya kwanza akiwa Tanga..... Ina follow bilion moja sasa hivi
 
Hapa nilipo nashindwa nikujibu nini kukutukana naona tabu make si kawaida yangu mwanaume mzima kunambia ntaolewa da poa bana ubalikiwe[emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Asee nisamehe bure, hapa hakika nimekukosea vikali,
Nakiri kuomba msamaha ndugu yangu.
Avatar zetu hiki ni fake

thA God thA bubbs!!
 
Kuna jamaa alikula ubwabwa kambale na maji ya kandoro akawa anaharisha tu majukwaani [emoji28] [emoji28]

RubiiKimimi[emoji85]
 
Naskia kafungua a/c ya instagram leo kwa mara ya kwanza akiwa Tanga..... Ina follow bilion moja sasa hivi
WaTz wamejazana kwa page yake, Mungu anusuru wasijeanza kutukanana tu kule taifa likapata aibu.

RubiiKimimi[emoji85]
 
Kuna jamaa alikula ubwabwa kambale na maji ya kandoro akawa anaharisha tu majukwaani [emoji28] [emoji28]

RubiiKimimi[emoji85]
Hayo ni makamasi yanaongea sio ww. Huna akili na busara ata kidogo we kiumbe
 
Huyu bwana huko kwao akiwa na binti yake baada ya kula mhudumu akamlalamikia kwa nini yeye ana mali amemtipu dola 5 wakati binti yake amemtipu dola 500. Bill gates akamjibu yule mhudumu sababu ni kwamba binti yake kazaliwa kwenye mali angali yeye alizaliwa kwenye umasikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa yeye kala wali maharage wewe uku huna ata hela kula chips na mayai mara kuku wakati mfukoni huna kitu
NB:billgates akila wali maharage na wanafunzi wa kicheba primary school uko muheza
d53cf18d8441c01e86c4661618501fc4.jpg
2c3a10f414811c6f800d6c4f93ce65f4.jpg


Mungu Ni Mwema
Alikunywaga maji yatokanayo na mavi atashindwaje huo wali safi?
 
Hivi USA hakuna mchele na maharage?

Maharage yapo tena ya kila aina.

Mchele nao upo tena wa kila aina.

Kwa mfano, mimi napendelea mchele aina ya 'Jasmati'.

Huu ni mchanganyiko kati ya mchele wa Jasmine na Basmati.

download.jpg
 
Mbona mi sijamuona akila hapo ?

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom