Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wabongo kwa maneno utwaweza? mbongo mpe picha tu mengine atamalizia mwenyewe
Hahahaha
Hajala wali maharage sema kapiga picha akiwa na sahani yenye wali maharage!Haya sasa yeye kala wali maharage wewe uku huna ata hela kula chips na mayai mara kuku wakati mfukoni huna kitu
NB:billgates akila wali maharage na wanafunzi wa kicheba primary school uko muheza
![]()
![]()
Mungu Ni Mwema
Duh sio ya kuwaza hayo! Hiyo ni hatari!Akifia tz,jiandaeni kuhama
thA God thA bubbs!!