Bill Gates alisema hawezi kuruhusu binti yake aolewe na masikini

BabaMia

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2024
Posts
270
Reaction score
554
Bill Gates alisema hawezi kuruhusu binti yake aolewe na maskini, miaka ya nyuma iliyopita Bill Gates akiwa tajiri namba moja duniani alihudhuria kwenye Investment and Finance Conference akaulizwa "Wewe ni mtu tajiri zaidi duniani je unaweza kuruhusu binti yako aolewe na masikini?"

Billy akajibu "Kwanza utambue utajiri siyo kuwa na account inayopokea na kutoa pesa nyingi, utajiri ni zaidi ya uwezo wa kutengeneza utajiri, kwa mfano mtu alieshinda bahati nasibu au kamari huyo wala siyo tajiri, huyo ni mtu masikini mwenye pesa nyingi, Asilimia 90 ya millionaire walioshinda bahati nasibu baada ya miaka mitano wanakua maskini tena"

"Lakini kuna matajiri wasio na pesa mfano wa watu hao wengi ni wajasiriamali, hao tayari wapo kwenye njia ya utajiri hata kama hawana pesa kwasababu wanaendeleza fikra zao za kiuchumi na utajiri"

Akaulizwa ni ipi tofauti ya tajiri na maskini? Akajibu
"Kuielezea kwa njia nyepesi tajiri yuko tayari kufa kwaajili ya utajiri na maskini yuko tayari kuua ili awe tajiri, Kama utamuona kijana mdogo anatafuta ujuzi, anajifunza mambo mapya kila siku anajitahidi kuwa bora unatakiwa ujue kuwa huyo ni tajiri"

"Kama utamuona kijana mdogo kila mara anailaumu nchi yake, anaona matajiri kama ni waizi na kila mara anawakosoa huyo mtu ni maskini"

"Tajiri anashawishika anahitaji tu kupata taarifa ili aanze safari yake, na maskini anafikiri watu wengine ndo wanatakiwa wampe pesa ili aanze safari yake"

"Kwa kumalizia wakati nasema siwezi kuruhusu binti yangu aolewe na maskini, sikumaanisha pesa naongelea uwezo wa huyo mtu kutengeneza utajiri".
"samahani kwa ninachoenda kukisema, wahalifu wengi ni maskini wakiona tu pesa wanapata kichaa kwahiyo wao ni kuiba kuiba tu, kwao ni furaha maana hawajui namna ya kutengeneza pesa zao"

"Siku moja mlinzi wa bank aliokota begi la pesa na akaenda kukabidhi kwa meneja wa bank hiyo, watu walimuita huyu mtu ni mjinga, ila kiuhalisia mtu huyu ni tajiri asie na pesa, mwaka uliofata bank ilimpa offer ya kuwa msimamizi sehemu, baada ya miaka mitatu akawa afisa mahusiano wa bank hiyo, baada ya miaka 10 akawa meneja wa kanda nzima anaongoza mamia ya wafanyakazi na kipato chake kikawa zaidi ya pesa ambayo angeiba"

Akamaliza kwa kusema
"utajiri upo katika fikra zako zaidi rafiki yangu"
 
Attachments

  • 1733421759562.jpg
    1733421759562.jpg
    450.2 KB · Views: 11
Maisha hayaeleweki, yeye na pesa zake kaachwa na melinda!.. Hivyo mbona yeye alioa mwanamke mwenye fikra za kimasikini maana hakuwaza kuongeza fedha bali kuzipurua!, ambapo ni mwezi mmoja tu sasa huyuhuyu billgate alisema kuwa melinda anawatafuta marafiki zake wa karibu wamuombee msamaha ili warudiane!.
hapo bi melinda ameshazitafuna zimemuisha anataka arudi kwa mzee..😅

By the way binti wa billgate tumuozeshe msanii wetu domomondi si alisema anataka kuwa tajiri wa kwanza duniani, so achukue kitu ya ba mkwe hiyo nafikiri ba mkwe atampa na mbinu zakuwa tajiri no moja.
 
Kwanza utambue utajiri siyo kuwa na account inayopokea na kutoa pesa nyingi, utajiri ni zaidi ya uwezo wa kutengeneza utajiri, kwa mfano mtu alieshinda bahati nasibu au kamari huyo wala siyo tajiri, huyo ni mtu masikini mwenye pesa nyingi, Asilimia 90 ya millionaire walioshinda bahati nasibu baada ya miaka mitano wanakua maskini tena"
 
Maisha hayaeleweki, yeye na pesa zake kaachwa na melinda!.. Hivyo mbona yeye alioa mwanamke mwenye fikra za kimasikini maana hakuwaza kuongeza fedha bali kuzipurua!, ambapo ni mwezi mmoja tu sasa huyuhuyu billgate alisema kuwa melinda anawatafuta marafiki zake wa karibu wamuombee msamaha ili warudiane!.
hapo bi melinda ameshazitafuna zimemuisha anataka arudi kwa mzee..😅

By the way binti wa billgate tumuozeshe msanii wetu domomondi si alisema anataka kuwa tajiri wa kwanza duniani, so achukue kitu ya ba mkwe hiyo nafikiri ba mkwe atampa na mbinu zakuwa tajiri no moja.
Wee hujui wanawake! Wanawake na wao hawajui wanachokitaka! Ukiwa tajiri mwanamke akizingua unambwaga! Maisha lazima yaendelee! Tunashangaaga wanaume kuja hapa wanalialia heti mke wangu kanikimbia! Huo ni umbulula
 
Back
Top Bottom