Bill Gates alisema hawezi kuruhusu binti yake aolewe na masikini

Bill Gates alisema hawezi kuruhusu binti yake aolewe na masikini

Mbona jibu kila mtu anayejimudu atajibu hivyo? Huwezi ozesha binti yako kwa masikini!
Binti mwenyewe ndio yule Lexa Gate anayeshinda kwanye glass box akitangaza album yake!?
Kama ndiye, basi inabidi Bill amuandalie mkwe wake B.venture ya maana.
 
asante mzee Willium kwa ushauri fasaha, kwa maelezo yako hata mimi ni tajiri! bado tu kuvikwa taji la u-TAJIRI MKUU.
 
Back
Top Bottom