Kutumia kwa maana ovu.Anyway,unachotetea ni nini hapo,mbona concept ipo wazi?Acheni kutumika ninyi.Omicron si ni herufi ya Kigiriki. Mbona hujasema kwamba Wagiriki waliitumia kabla ya Yesu kuzaliwa na hapa unataka watu waamini Bill Gates ndio wa kwanza kuitumia.
Ni kama herufi Alpha, Beta, Omega, etc huwezi lazimisha ziwe na matumizi ya aina moja tu. Hata Delta variant hiyo Delta ni herufi na ilishatumika mara kibao kabla ya COVID-19. US military wana Delta Force
Ila kwel eeeh[emoji848][emoji848][emoji848]Omicron sio jina jipya ni series ya majina ya kirusi kutokana na jinsi kinavyofanya mutation
Kilikua na
Alpha Variant
Beta Variant
Gamma Variant
Delta Variant na sasa ni
Omicron Variant
Hivyo Bill Gates kama aliita game ya Omicron sio kitu kipya. Au wale jamaa wote wenye majina ya Alpha au Wangoni wanaoitwa Gamma nao ni watu wa michongo.
Haihitaji akili sana ku-connect the dots mkuu,labda kama kichwani kidoogo kuna shida.Omicron sio jina jipya ni series ya majina ya kirusi kutokana na jinsi kinavyofanya mutation
Kilikua na
Alpha Variant
Beta Variant
Gamma Variant
Delta Variant na sasa ni
Omicron Variant
Hivyo Bill Gates kama aliita game ya Omicron sio kitu kipya. Au wale jamaa wote wenye majina ya Alpha au Wangoni wanaoitwa Gamma nao ni watu wa michongo.
Hakuna akili nyingi kuna conspiracy theories tuHaihitaji akili sana ku-connect the dots mkuu,labda kama kichwani kidoogo kuna shida.
I am a fee soul bro... Siendeshwi na propagandaEither you are mind controlled,a slave or just dumb.
Matatizo ya akili is real.
Conspiracy theories tu
Omicron si ni herufi ya Kigiriki. Mbona hujasema kwamba Wagiriki waliitumia kabla ya Yesu kuzaliwa na hapa unataka watu waamini Bill Gates ndio wa kwanza kuitumia.
Ni kama herufi Alpha, Beta, Omega, etc huwezi lazimisha ziwe na matumizi ya aina moja tu. Hata Delta variant hiyo Delta ni herufi na ilishatumika mara kibao kabla ya COVID-19. US military wana Delta Force
Na ninaowapuliza.hasa kwa wanaopuliza
Na ninaowapuliza.
Nisome mada ili iweje. Ndio nishasoma na hoja yangu nishatoa, kama una hoja itoe na kama huna acha porojo. Mkikosa majibu mnarudi kwenye vipoint uchwara vyenu vya soma mada upya, hii ni kwa wenye akili tu, hii ni siri, etc.Soma Mada Upya
... cha kushangaza hapo nini? Mkuu Cvez hapo juu katuwekea nomenclature ya virus vya corona; they are named after Greek alphabets (at least for now); haihitajiki akili yoyote kujua next kitaitwa kwa jina gani. Ni sawa na vimbunga; jina la kimbunga kitakachotokea 2040 tayari lipo kwenye list. Let's be free minded badala ya kutekwa na propaganda uchwara!Hata mm nimeshangaa sana,kirusi kipya tayari jina limejulikana.
Kuna watu wanaendeshwa na hizi propaganda ili mradi tu kuwe na debates tu.... cha kushangaza hapo nini? Mkuu Cvez hapo juu katuwekea nomenclature ya virus vya corona; they are named after Greek alphabets (at least for now); haihitajiki akili yoyote kujua next kitaitwa kwa jina gani. Ni sawa na vimbunga; jina la kimbunga kitakachotokea 2040 tayari lipo kwenye list. Let's be free minded badala ya kutekwa na propaganda uchwara!
Kwaiyo ata Hili jua linaloleta ukame Ni planned[emoji848]Hii post ni kwa ajili ya watu wachache sana a ambao bongo zao zinaweza kuunganisha dot.
Ila vichwa maji hawatajishughulisha zaidi utasikia Ni mambo ya kufikiririka.
NB: Hakuna kitu/tukio/jambo linatokea duniani kwa bahati mbaya. Na km linaonekana bahati mbaya imepangwa hivyo lionekane ni bahati mbaya. Kila kitu ni planned, programmed. It's just a matter of time!
Hii post ni kwa ajili ya watu wachache sana a ambao bongo zao zinaweza kuunganisha dot.

Tena za kipuuzi kabisaConspiracy theories tu