Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
- Thread starter
- #21
Kutumia kwa maana ovu.Anyway,unachotetea ni nini hapo,mbona concept ipo wazi?Acheni kutumika ninyi.Omicron si ni herufi ya Kigiriki. Mbona hujasema kwamba Wagiriki waliitumia kabla ya Yesu kuzaliwa na hapa unataka watu waamini Bill Gates ndio wa kwanza kuitumia.
Ni kama herufi Alpha, Beta, Omega, etc huwezi lazimisha ziwe na matumizi ya aina moja tu. Hata Delta variant hiyo Delta ni herufi na ilishatumika mara kibao kabla ya COVID-19. US military wana Delta Force