Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za mi CCM hizohows is this related to Kenyan News and Politics ?
hows is this related to Kenyan News and Politics ?
Kama sio akili za kitoto basi utoto unakusumbua
Bawacha mnatoa machozi tu, hamtaki jema lolote kwenye nchi hiiKama sio akili za kitoto basi utoto unakusumbua
young kilimanjaro
Wanapishana tu watu wazito nchini, hii ni kuonyesha utawala uliopo ni wa kiunguNchi yetu imekuwa ni yenye Mafuriko ya Neema tangu Mwaka huu uanze.
Mungu ibariki nchi yetu Kipenzi Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
It's called "in yo face". Sit tight and swallow.hows is this related to Kenyan News and Politics ?
Hao watoto wangemjua mtu waliyekaa naye ni nani wangetetemeka.His instagram pageView attachment 563918 View attachment 563917
Ha ha ha, wao wamekalia kushadadia ushindi wa Uhuru huko Kenya kama malimbukeni.
Una uhakika gani hawamjui? Kabla ya kwenda hapo si watakuwa wameambiwa kuna ugeni wa fulani?
Mijizi hiyo inafikiri Lowassa atawapeleka KenyaHa ha ha, wao wamekalia kushadadia ushindi wa Uhuru huko Kenya kama malimbukeni.
Ngoja waibiwe kura 2020 na CCM tuone watakavyofurahia.