Mtu anakufundisha kuwa tajiri halafu yeye masikiniNchi imejaa vilaza wengi wanaojifanya wajuwaji na kuchambua mambo ambayo hawana uwezo wa kuyaelezea na kuyapambanua katika kiwango kinachostahili na pale wanapokosolewa uwa wakali sana.
Hadithi kama hizi zinawafaa wanafunzi wa darasa la tatu b.
unamaanisha tajiri asiye na hela? ππππUzuri wa mapenzi ni kwamba hata uyo bint yako anaweza kupewa mimba au kumpenda mvuta bangi au mlevi asiye na future
Ndiounamaanisha tajiri asiye na hela? ππππ
[emoji4][emoji116]Watu wa kubet (kamari) povu kama lote....
Kwani huyu ameachwa au wamekubaliana kutengana na mkewe?Ila Twende mbele turudi nyuma......[emoji4][emoji116]View attachment 1995660