Bill Gates: Sipo tayari binti yangu kuolewa na masikini. Asema washinda kamari ni maskini pamoja na hela nyingi wanazoshinda

Bill Gates: Sipo tayari binti yangu kuolewa na masikini. Asema washinda kamari ni maskini pamoja na hela nyingi wanazoshinda

Nchi imejaa vilaza wengi wanaojifanya wajuwaji na kuchambua mambo ambayo hawana uwezo wa kuyaelezea na kuyapambanua katika kiwango kinachostahili na pale wanapokosolewa uwa wakali sana.
Hadithi kama hizi zinawafaa wanafunzi wa darasa la tatu b.
Mtu anakufundisha kuwa tajiri halafu yeye masikini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ayo ni maneno tu ili isionekane katengeneza matabaka,

Ila kiuhalisia,
Kwa maisha ya sasa na wanawake wa sasa

Ile tu Kuingia kwenye moyo wake BILA PESA CASH inayoeleweka.

Aisee,
Mwanaume Utapata taaabu sana[emoji4]
JamiiForums1779766864.jpg
 
Ila Twende mbele turudi nyuma......[emoji4][emoji116]
JamiiForums740838526.jpg
 
Binti yake pia anauwezo wa kutengeneza pesa au ndo akafaidi utajiri tu..?
 
Back
Top Bottom