Bill Nass amtolea nje Nandy

Bill Nass amtolea nje Nandy

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363


Msanii Bill Nas anayetamba na vibao vingi vya mziki kikiwemo Sina jambo, amtolea nje nandy kwa kudai hajawahi kutoka naye kimapenzi na kusema hilo jambo halina ukweli wowote hata watu wake wa karibu wanashangaa kusikia hilo jambo. hajawai kutoka kimapenzi na staa wa bongo fleva wala bongo movie. Nakusema yuko single na kudai masuala ya mapenzi ameyaweka kando, yanampotezea focus.
 
Sikuhizi ukitoa ngoma ili ihit inabidi uulizwe masuala ya mapenzi, sijui wakina Profesa Jay wa enzi zile wangeweza kutoboa kwenye muziki wa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wanaume warembo wa Bongo Fleva wanatuzingua ujue!
 
Back
Top Bottom