Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Msanii Bill Nas anayetamba na vibao vingi vya mziki kikiwemo Sina jambo, amtolea nje nandy kwa kudai hajawahi kutoka naye kimapenzi na kusema hilo jambo halina ukweli wowote hata watu wake wa karibu wanashangaa kusikia hilo jambo. hajawai kutoka kimapenzi na staa wa bongo fleva wala bongo movie. Nakusema yuko single na kudai masuala ya mapenzi ameyaweka kando, yanampotezea focus.