Billionea wa Danube ajuta kuwekeza Tanzania

Acheni upumbavu,wenye uwezo wa kuingia shoping DANUBE hawako insta ,unasusa wakati huna uwezo!Ni sawa na uswahilini kususia bucha
 
ubuyu mchungu huu in kingereza reply
 
Hakuna mwenye hela za kununua chochote pale danube kati yao.....Hao wengi ni vichwa maji tuuu...
 
Kujuta maana yake nini?
 
Kuna watanzania wanatia aibu , utafikiri wana hela hata za kununua kitu Danube.

Katika wote wanaotukana sijaona anaeweza kununua set ya kitanda kwa mil. 5
[emoji2][emoji2]wengine pakulala hawana
 
Mimi nashangaa mtu akisema eti Hamisa kadhalilishwa πŸ˜€ wapi kadhalilishwa? Yeye mwenyewe anaona faghari kutiwa mhogo na boyfriend wa mtu. sasa anadhalilishwa na nani?
 
Zari ni lazima kwa sasa ana uraia Wa Tz....wanashindana naye ila hawataweza hata siku moja kawazidi kila kitu mange mwenyewe hamkuti kwa pesa na akili hata chembe aliyepewa kapewa.
 
Hayo ni mambo yao sisi yanatuhusu nini?

BTW unaishusha hadhi JF kwa kuleta habari za insta!
 
wanaopiga kelele huko insta wote sio wanunuaji kufikia hadhi ya kununua bidhaa za Danube,waganga njaa tuu hao....

Ubaya watanzania tuna vichuki chuki visivyo na mbele wala nyuma,tena kwa mtu ambaye hata kumkaribia huwezi kumkaribia kiuchumi.
 
Ndio kiingereza Chake hicho?
 
mi nikajua labda nayeye kalalamika kama dangote inshu za kodi na sheria zetu za uwekejazaji kumbe porojo za wambea wa ista
 
Kuna dada mmoja huko aliandika hatununui na hivo vitu vya Danube, kumcheki picha zake kwenye profile dah hadi unajisikia huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…