Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
F
Wewe huna hata uwezo wa kununua hata kigoda hapo DANUBE.
Kujuta maana yake nini?Huko insta kumenuka baada ya mashabiki wa Hamisa kuwashtaki danube Tanzania kwa kumzalilisha hamisa pia kwa kumtumia zari kwenye ufunguzi wa duka lao Tanzania huku wakijua sio mtanzania,hana kibali cha kufanya kazi bongo pia anahusika na video ya ngono .
Watanzania hao wameenda kwenye page yake wakiwa na kampeni ya kutonunua pia vitu vya danube billionea huyo ameonekana amechanganyikiwa amewajibu hivi
All this can be communicated on emails and not on my personal insta. U wud not like if some one writes like this on your wall. U people r educated so thats what i can tell you. Thankyour for your understndg
[emoji2][emoji2]wengine pakulala hawanaKuna watanzania wanatia aibu , utafikiri wana hela hata za kununua kitu Danube.
Katika wote wanaotukana sijaona anaeweza kununua set ya kitanda kwa mil. 5
hee!MTOA POST HUWA ANA WIVU SANA KWA ZARI...AFU HAO WAKESHA INSTA WENGI WAO NI KULA KULALA TU HATA CHUPI WANANUNULIWA NA WAZAZI WAO.
" na hizi hereni za danube piya"
movie ya ngono inaitwaje mkuu niione ya zariniwe na wivu wa nini? ungejua bahati zangu ohoo.mimi nimeleta tu habari mkuu
Ndio kiingereza Chake hicho?Huko insta kumenuka baada ya mashabiki wa Hamisa kuwashtaki danube Tanzania kwa kumzalilisha hamisa pia kwa kumtumia zari kwenye ufunguzi wa duka lao Tanzania huku wakijua sio mtanzania,hana kibali cha kufanya kazi bongo pia anahusika na video ya ngono .
Watanzania hao wameenda kwenye page yake wakiwa na kampeni ya kutonunua pia vitu vya danube billionea huyo ameonekana amechanganyikiwa amewajibu hivi
All this can be communicated on emails and not on my personal insta. U wud not like if some one writes like this on your wall. U people r educated so thats what i can tell you. Thankyour for your understndg
Kuna dada mmoja huko aliandika hatununui na hivo vitu vya Danube, kumcheki picha zake kwenye profile dah hadi unajisikia hurumaJaman jaman jaman tusitukanane heee wengi wanaomiliki insta midomo juu hawana uwezo wa kununua hata kijiko danube,account nyingi za umbea zinategemea matangazo ya wafanyabiashara wadogo wadogo kwa sh elfu kumi kwa wiki mbili au mwezi hio hela ya kushop danube wataipatia wapi sasa
Jamaa kawajibu kuhusu kuandika complaints kwa email na kuwaambia muwe wasomi sio kulalamika kwenye account yake binafsi ya insta ila sasa watu mnachekelea eti mmemkomesha anajuta aiseeee