Kwa hiyo hilo ndio group là Miss Natafuta ?Watu wenye uwezo wa kununua hizo bidhaa za huko hawana hata muda wa kujadili huo upuuzi na wengi wao hawapo Instagram.
Hao hawana uwezo hata wa kununua sahani za plastic!!
Hii lugha ilikuja na meliJaman jaman jaman tusitukanane heee wengi wanaomiliki insta midomo juu hawana uwezo wa kununua hata kijiko danube,account nyingi za umbea zinategemea matangazo ya wafanyabiashara wadogo wadogo kwa sh elfu kumi kwa wiki mbili au mwezi hio hela ya kushop danube wataipatia wapi sasa
Jamaa kawajibu kuhusu kuandika complaints kwa email na kuwaambia muwe wasomi sio kulalamika kwenye account yake binafsi ya insta ila sasa watu mnachekelea eti mmemkomesha anajuta aiseeee
Watu wenye uwezo wa kununua hizo bidhaa za huko hawana hata muda wa kujadili huo upuuzi na wengi wao hawapo Instagram.
Hao hawana uwezo hata wa kununua sahani za plastic!!
Hahahahhahahahah zereu hizo sasaNimekuja fasta nikidhani TRA wamewapiga paga.... Kumbe kusutana
Serikali ikubali kuingia hasara kuwabadilisha wanawake Software zao za Medular
pointWatu wenye uwezo wa kununua hizo bidhaa za huko hawana hata muda wa kujadili huo upuuzi na wengi wao hawapo Instagram.
Hao hawana uwezo hata wa kununua sahani za plastic!!
GeniusJaman jaman jaman tusitukanane heee wengi wanaomiliki insta midomo juu hawana uwezo wa kununua hata kijiko danube,account nyingi za umbea zinategemea matangazo ya wafanyabiashara wadogo wadogo kwa sh elfu kumi kwa wiki mbili au mwezi hio hela ya kushop danube wataipatia wapi sasa
Jamaa kawajibu kuhusu kuandika complaints kwa email na kuwaambia muwe wasomi sio kulalamika kwenye account yake binafsi ya insta ila sasa watu mnachekelea eti mmemkomesha anajuta aiseeee
Na wewe huwa unatukana huko instagram!!?Acha kututenga, mimi nipo insta na danube nanunua bidhaa ww nani kunisemea
Hebu nanyi muwe wazalendo kwenye hili. Mbona Watanzania manajishusha sana. Unataka kuniambia kweli hakukuwa na mtanzania wa kuifungua hiyo mpaka tufunguliwe na Mganda? Tena anayeishi South Africa? Mi ni mmoja wapo wa kucampaign kutonunua bidhaa kwenye duka lake, kwa nini atu-undermani hivyo wa-Tanzania?MTOA POST HUWA ANA WIVU SANA KWA ZARI...AFU HAO WAKESHA INSTA WENGI WAO NI KULA KULALA TU HATA CHUPI WANANUNULIWA NA WAZAZI WAO.