Billionea wa Danube ajuta kuwekeza Tanzania

Billionea wa Danube ajuta kuwekeza Tanzania

Watu wenye uwezo wa kununua hizo bidhaa za huko hawana hata muda wa kujadili huo upuuzi na wengi wao hawapo Instagram.
Hao hawana uwezo hata wa kununua sahani za plastic!!
Kwa hiyo hilo ndio group là Miss Natafuta ?
 
huyo hamisa hana ubavu wa kununua vitu vya danube. hao wanaojiita team hamisa wasubirihiyo milioni tano toka kwa mondi maana nyie kazi yenu kutafuta ulaji kupitia insta. achaneni na zari hamumuwezi anatafuta hela yeye mwenyewe si sawa na huyo anae tegemea mtoto kama mtaji
 
Jaman jaman jaman tusitukanane heee wengi wanaomiliki insta midomo juu hawana uwezo wa kununua hata kijiko danube,account nyingi za umbea zinategemea matangazo ya wafanyabiashara wadogo wadogo kwa sh elfu kumi kwa wiki mbili au mwezi hio hela ya kushop danube wataipatia wapi sasa

Jamaa kawajibu kuhusu kuandika complaints kwa email na kuwaambia muwe wasomi sio kulalamika kwenye account yake binafsi ya insta ila sasa watu mnachekelea eti mmemkomesha anajuta aiseeee
Hii lugha ilikuja na meli
 
Uchawi ni sehem ya utamaduni wa Nigeria umewatesa sana wakautafutia upenyo wa kuukemea kwa namna ya kutengeneza filamu . Tunatazama tunaona mauchawi yao ni vitu ambavyo vipo kweli kwao uchawi nje nje tu.

Watanzania umbea, udaku na ushabiki wa kishakunaku tumeshindwa kuingizia kipato . Hebu tukitajidini tupate hata ki-wonder kimoja tufyatue package za umbea na udaku watu wapate ajira [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Rasi simba anafundisha kiingereza wiki tatu tu...mleta mada nenda kamuone
 
Watu wenye uwezo wa kununua hizo bidhaa za huko hawana hata muda wa kujadili huo upuuzi na wengi wao hawapo Instagram.
Hao hawana uwezo hata wa kununua sahani za plastic!!

Acha kututenga, mimi nipo insta na danube nanunua bidhaa ww nani kunisemea
 
Nimekuja fasta nikidhani TRA wamewapiga paga.... Kumbe kusutana

Serikali ikubali kuingia hasara kuwabadilisha wanawake Software zao za Medular
Hahahahhahahahah zereu hizo sasa
 
wapumbavu wa uswahilini huko ndo kazi zao hizi, wanaume wenzangu tuangalie sana aina ya watu wa kudate nao
 
Jaman jaman jaman tusitukanane heee wengi wanaomiliki insta midomo juu hawana uwezo wa kununua hata kijiko danube,account nyingi za umbea zinategemea matangazo ya wafanyabiashara wadogo wadogo kwa sh elfu kumi kwa wiki mbili au mwezi hio hela ya kushop danube wataipatia wapi sasa

Jamaa kawajibu kuhusu kuandika complaints kwa email na kuwaambia muwe wasomi sio kulalamika kwenye account yake binafsi ya insta ila sasa watu mnachekelea eti mmemkomesha anajuta aiseeee
Genius
 
Wanaume na wanawake waweke mgomo wa kununia bidhaa zao kwa sharti la kutumia watu wa Tanzania kutangaza biashara
 
MTOA POST HUWA ANA WIVU SANA KWA ZARI...AFU HAO WAKESHA INSTA WENGI WAO NI KULA KULALA TU HATA CHUPI WANANUNULIWA NA WAZAZI WAO.
Hebu nanyi muwe wazalendo kwenye hili. Mbona Watanzania manajishusha sana. Unataka kuniambia kweli hakukuwa na mtanzania wa kuifungua hiyo mpaka tufunguliwe na Mganda? Tena anayeishi South Africa? Mi ni mmoja wapo wa kucampaign kutonunua bidhaa kwenye duka lake, kwa nini atu-undermani hivyo wa-Tanzania?
 
Mtoa mada ana uwezo mdogo sana wa kuelewa mambo achilia kuchambua mambo.
Ras simba yupo kwaajili hiyo walau kuelewa kilichoandikwa.
 
Back
Top Bottom