muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Haka ka Nandy kazuri aisee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo mwembamba sanaHaka ka Nandy kazuri aisee...
Msanii wa bongo Billnas amemvisha Pete ya Uchumba Nandy live ndani E tv
Billnas amemvisha Pete ya Uchumba Nandy ikiwa sehemu ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kesho tarehe 11/4.
View attachment 1415887
Kazuri ka sura ila mwili wa kawaida sana,Haka ka Nandy kazuri aisee...
Hainaga makombo kabisaaBwana nenga kapata papuchi na pesa kwa wakati mmoja. Kufa kufaana
Sent From Galaxy S9
Mkuu ukisikiliza maneno ya watu utofanya lolote, hata wew ukipata umarufu au hela utazushiwa mengi ......utasikia hela zake za freemason yulesasa si naskia boss Ruge alikua kaungua na alikuwa anakula huyo Nandi au?
Hii nafikiri kutokana na tofaut ya umri, Ruge alikua nadhan 49 oldYani hakuna shaka kuwa Nandy anampenda sana Billnas Ruge alikuwa tu daraja na angeolewa nae bado Nenga angeendelea kumla mtoto.
Yani akiwa na Billnas unamuona anavyokuwa ana furaha kabisa
Yani hakuna shaka kuwa Nandy anampenda sana Billnas Ruge alikuwa tu daraja na angeolewa nae bado Nenga angeendelea kumla mtoto.
Yani akiwa na Billnas unamuona anavyokuwa ana furaha kabisa
Kwani Kati ya ruge na nenga nani alikua na six park?sasa si naskia boss Ruge alikua kaungua na alikuwa anakula huyo Nandi au?
Kama bado unagegedana futa kauli, kesho yako huijui. Kiazi weweeeeSafi sasa wale vizur pension alio acha Ruge ila wasisahau kwenda kupima HIV
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe tupo wengi 😀😀😀Ila hichi kidemu nakipenda sn nimekiibukia dm insta mara kibao hakijawahi kunijibu sijui ndo mambo ya connection?!
Hahaaa......😁😁😁😁Kumbe tupo wengi 😀😀😀
Ukifa umeenda na zako, utakumbukwa na wazazi wako labda na watoto wakoKwani umepita hata mwaka?
Ila hichi kidemu nakipenda sn nimekiibukia dm insta mara kibao hakijawahi kunijibu sijui ndo mambo ya connection?!
Sure na chenyewe kiko bomba sn ila kina mambo mengi na miadi mingi sn deileee[emoji1787][emoji16][emoji16],mim namkubali sana amba lulu,nimetumtumia ujumbe insta since 2018 hajajib
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure na chenyewe kiko bomba sn ila kina mambo mengi na miadi mingi sn deileee