Billnas amvisha Pete ya Uchumba Nandy

Billnas amvisha Pete ya Uchumba Nandy

Ruge huko aliko cjui anapanga nn akiona hiv

god is good
 
Muendelezo ule ule wa wanaume wa dar kupiga magoti mbele ya mwanamke. Huu ujinga mikoani huukuti...


Kwanza huko mikoani hata kutongoza demu nyie mnaona ufala tu. Nyie si ndio Sagulaga na Niangusage? Huku kwetu Dar hiyo inaitwa kubaka, yaani ni kesi kubwa sana.
 
Back
Top Bottom