angedizzle
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 590
- 504
Nimesikiliza interview nyingi za huyu dogo lakini sijawahi kuona hizo dharau...T.I.D na Godzilla walimuattack kwenye social media lakini kwenye kila interview dogo akihojiwa kuhusu hizo issue anajibu in a very positive way..Hajawahi Kumdiss Tid wala ZillaMi naonaga ni kati ya wasanii wa bongofleva wanaojua sana kujieleza kwenye intavyuu. Ila kama anadharau waliomtoa anakosea sana
Alimdharau wapi?......HUYU hana HESHIMA ....alimdharau HATA aliemtoa OUT '''MNYAMA''' niliupenda
ligi ndogo SABABU ya chombezo LA '''mnyama tu.
Dogo mara kibao anasema anamuheshimu sana Tid..Na ana appreciate mchango wa Tid katika kazi zake..Mana ndo aliyemsaidia kufika hapo alipo..Respect gani tena inahitajika?T.I.D kafanya kazi kubwa kwa huyu dogo respect muhimu sana.
Billnass ni zao la Radar entertainment chini ya mzee mnyamaa TID aka Kigogo,Walioba ndo alimkuza jamaa na Kenyonga chorus za nyimbo zte zlizomtoa dogo kuanzia RAHA mpaka LIGI NDOGO sema kuanzia flow, connections za media alipewa na mnyama mwenyewe! Kuna interview fulan Mnyama anamlalamikia dogo kuwa I gave him the flow, Nilimpeleka kwa media na kumpatia connection bt hajawahi kuniambia mnyama Shika laki moja hii umenifanyia chorus Nzuri! By the way napendaga majibu ya TID kwenye interview zake
Sure..Tid ana comedy nyingi..Uwa napenda interview zake..Anaweza kuongea/kumdiss mtu yeyote bila kuogopa..Na nadhani wasanii wenzake wanamuelewa ndo mana hawadili naenapendaga majibu ya TID kwenye interview zake
some kind of 'conflict of interest'....Wadau bila shaka kama ww ni mfuasi wa nyimbo za kizazi kipya utakuwa unampata Msanii billnass Anaetamba kwa wimbo wa LIGI NDOGO na CHAFU POZI nymbo ambazo zmemfanya msanii huyu kujikuta star kupita kias hata awapo kwenye live interview zake amekuwa akijibu maswali kwa mapozi utadhani yy ndie legend wa mziki wa hip hop Tanzania si hapo tu dogo huyo huyo ameshindwa kutambua thaman ya radah intertainment ambayo ndio kampuni iliyomfanya afke hapo alipo pia kando ya yote anashindwa kutambua japo Thaman ya msanii T.I.D Ambaye ndie aliyefanya wimbo wake wa ligi ndogo upate shabiki wengi na kumfanya awe billnas...!
Angalizo dogo usipobadilika tutakupoteza kwenye hii industry ya mziki kwan wenzako waliokuja kwa style zako wapo wanauza mitumba!!
Anapaswa ajue hilo ila kwa maana tumemchana humu iwish anaweza kuona hiki kitu maana JF ni ya wanajamii wote yawezekana nae kauptia uzi huu! Ila anaznguaa kununua gar na kushut south Africa si kigezo cha kumfanya sjikute alipo niboa zaid ni pale aliposema GODZILLA anatafta kiki kwake[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kwani anashindwa kutafuta kiki kwake? Kwani godzilla ni msanii mkubwa ana anaekua?Hahahaaa mkuu ila Nass anazngua kusema GODZILLA anatafta kk kwake[emoji14] [emoji14] [emoji14]
Bila shaka na wewe utakua mnyama tu!......HUYU hana HESHIMA ....alimdharau HATA aliemtoa OUT '''MNYAMA''' niliupenda
ligi ndogo SABABU ya chombezo LA '''mnyama tu.
Mwambie binadam huku hatuitaji appreciation tukitoa msaada labda huko unyamaniBillnass ni zao la Radar entertainment chini ya mzee mnyamaa TID aka Kigogo,Walioba ndo alimkuza jamaa na Kenyonga chorus za nyimbo zte zlizomtoa dogo kuanzia RAHA mpaka LIGI NDOGO sema kuanzia flow, connections za media alipewa na mnyama mwenyewe! Kuna interview fulan Mnyama anamlalamikia dogo kuwa I gave him the flow, Nilimpeleka kwa media na kumpatia connection bt hajawahi kuniambia mnyama Shika laki moja hii umenifanyia chorus Nzuri! By the way napendaga majibu ya TID kwenye interview zake
HahhaaaaTID anapenda shari sana. Hata kitaa ana majibu ya shombo kama sio mvumilivu unaweza kumpa makofi.
Wazo zuri Mzazi hata kama Baba mkorofi ila syo kujenga chuki nae kumbuka mnyama TID ndie aliemfanya billnas kuwa BILLNAS tunaemjua sisi hivyo heshima inahitajika sanaaaT.I.D kafanya kazi kubwa kwa huyu dogo respect muhimu sana.
Wazo zur mzazi kumbuka bila Mnyama TID tusingeweza kumfaham BILLNAS ambae leo anajikuta star na kukashfu RADAH INTERTEINMENT......HUYU hana HESHIMA ....alimdharau HATA aliemtoa OUT '''MNYAMA''' niliupenda
ligi ndogo SABABU ya chombezo LA '''mnyama tu.
Mkuu kwenye raha hakuna Mkono wa Top in dar ila hata hivyo kiuhalisua wimbo wa raha haukumtanbulisha BILLNAS kam LIGI NDOGO aliotia saut TOP IN DARBillnass ni zao la Radar entertainment chini ya mzee mnyamaa TID aka Kigogo,Walioba ndo alimkuza jamaa na Kenyonga chorus za nyimbo zte zlizomtoa dogo kuanzia RAHA mpaka LIGI NDOGO sema kuanzia flow, connections za media alipewa na mnyama mwenyewe! Kuna interview fulan Mnyama anamlalamikia dogo kuwa I gave him the flow, Nilimpeleka kwa media na kumpatia connection bt hajawahi kuniambia mnyama Shika laki moja hii umenifanyia chorus Nzuri! By the way napendaga majibu ya TID kwenye interview zake
Mda sana mkuuMkuu kwan dogo ashaanza bifu na king zillah