Billnas wenzako hawajaanza ivo!

Billnas wenzako hawajaanza ivo!

Mleta mada unamwonea huyo dogo..tukianza na TID yeye ndo wakwanza kumnyea dogo na hakuna asiejua kama TID anahitaj psychotherapy kwasasa ukiachilia mbali methadone na kashaznguana na wekongwe wenzake kbao2 ukiacha huyo dogo' kashamzngua nature na juzi2 kamzngua tena dully na hii imejidhihirisha hata kwenye wimbo wake wa muzik umerudi nyumbani ambapo kwenye vdeo verse ya dully haipo..imagine hao ni wakongwe wenzake sembuse huyo dogo? back to zilla' huyo jamaa hatak kukubali kama dogo anakuja vzur lakin pia ndo mtu wa kwanza kumnyea dogo kuwa hawez kuwa hawez kuwa levo zake so yawezekana dogo nae akawa amemjib coz hakuna mwenye moyo wa chuma so longer wote wanafanya music kwann kucwe na kumkubali mwenzako na kumheshim?

Inshort dogo cyo mznguaj, ila hao wasanii uliowataja wanaji-OVERRATE sana kuliko uhalisia wao kwasasa ZILLA huyu cyo yule wa kingzilla, salasala na you and i na huyo mnyama anaeish mjini asipokiri kuwa anakula sukari hyo laana itatafuna kipaji na fan base yake yote
 
Mi naonaga ni kati ya wasanii wa bongofleva wanaojua sana kujieleza kwenye intavyuu. Ila kama anadharau waliomtoa anakosea sana
Nimesikiliza interview nyingi za huyu dogo lakini sijawahi kuona hizo dharau...T.I.D na Godzilla walimuattack kwenye social media lakini kwenye kila interview dogo akihojiwa kuhusu hizo issue anajibu in a very positive way..Hajawahi Kumdiss Tid wala Zilla
 
Billnass ni zao la Radar entertainment chini ya mzee mnyamaa TID aka Kigogo,Walioba ndo alimkuza jamaa na Kenyonga chorus za nyimbo zte zlizomtoa dogo kuanzia RAHA mpaka LIGI NDOGO sema kuanzia flow, connections za media alipewa na mnyama mwenyewe! Kuna interview fulan Mnyama anamlalamikia dogo kuwa I gave him the flow, Nilimpeleka kwa media na kumpatia connection bt hajawahi kuniambia mnyama Shika laki moja hii umenifanyia chorus Nzuri! By the way napendaga majibu ya TID kwenye interview zake
 
Kwenye RAHA TID hakuimba chorus..labda useme mchango wake ulikua kumwungansha dogo na NAZIZ
 
Wadau bila shaka kama ww ni mfuasi wa nyimbo za kizazi kipya utakuwa unampata Msanii billnass Anaetamba kwa wimbo wa LIGI NDOGO na CHAFU POZI nymbo ambazo zmemfanya msanii huyu kujikuta star kupita kias hata awapo kwenye live interview zake amekuwa akijibu maswali kwa mapozi utadhani yy ndie legend wa mziki wa hip hop Tanzania si hapo tu dogo huyo huyo ameshindwa kutambua thaman ya radah intertainment ambayo ndio kampuni iliyomfanya afke hapo alipo pia kando ya yote anashindwa kutambua japo Thaman ya msanii T.I.D Ambaye ndie aliyefanya wimbo wake wa ligi ndogo upate shabiki wengi na kumfanya awe billnas...!

Angalizo dogo usipobadilika tutakupoteza kwenye hii industry ya mziki kwan wenzako waliokuja kwa style zako wapo wanauza mitumba!!
some kind of 'conflict of interest'....
 
Anapaswa ajue hilo ila kwa maana tumemchana humu iwish anaweza kuona hiki kitu maana JF ni ya wanajamii wote yawezekana nae kauptia uzi huu! Ila anaznguaa kununua gar na kushut south Africa si kigezo cha kumfanya sjikute alipo niboa zaid ni pale aliposema GODZILLA anatafta kiki kwake[emoji16] [emoji16] [emoji16]

Mkuu kwan dogo ashaanza bifu na king zillah
 
Billnass ni zao la Radar entertainment chini ya mzee mnyamaa TID aka Kigogo,Walioba ndo alimkuza jamaa na Kenyonga chorus za nyimbo zte zlizomtoa dogo kuanzia RAHA mpaka LIGI NDOGO sema kuanzia flow, connections za media alipewa na mnyama mwenyewe! Kuna interview fulan Mnyama anamlalamikia dogo kuwa I gave him the flow, Nilimpeleka kwa media na kumpatia connection bt hajawahi kuniambia mnyama Shika laki moja hii umenifanyia chorus Nzuri! By the way napendaga majibu ya TID kwenye interview zake
Mwambie binadam huku hatuitaji appreciation tukitoa msaada labda huko unyamani
 
Hata diamond hatambui tena mchango wa Bob Junior... Mi naona fresh tu. Yawezekana T.I.D alimtibua dogo ndo maana akajikataa. Tatizo la hawa malegend akikusaidia kidogo tu anataka umsujudie all the time
 
......HUYU hana HESHIMA ....alimdharau HATA aliemtoa OUT '''MNYAMA''' niliupenda
ligi ndogo SABABU ya chombezo LA '''mnyama tu.
Wazo zur mzazi kumbuka bila Mnyama TID tusingeweza kumfaham BILLNAS ambae leo anajikuta star na kukashfu RADAH INTERTEINMENT
 
Billnass ni zao la Radar entertainment chini ya mzee mnyamaa TID aka Kigogo,Walioba ndo alimkuza jamaa na Kenyonga chorus za nyimbo zte zlizomtoa dogo kuanzia RAHA mpaka LIGI NDOGO sema kuanzia flow, connections za media alipewa na mnyama mwenyewe! Kuna interview fulan Mnyama anamlalamikia dogo kuwa I gave him the flow, Nilimpeleka kwa media na kumpatia connection bt hajawahi kuniambia mnyama Shika laki moja hii umenifanyia chorus Nzuri! By the way napendaga majibu ya TID kwenye interview zake
Mkuu kwenye raha hakuna Mkono wa Top in dar ila hata hivyo kiuhalisua wimbo wa raha haukumtanbulisha BILLNAS kam LIGI NDOGO aliotia saut TOP IN DAR
 
Back
Top Bottom