Billnas wenzako hawajaanza ivo!

Billnas wenzako hawajaanza ivo!

TID ni mtu wa kupuuzwa, anajiona sana siku izi.
Ila uyo dogo nae anaimba hip hop gani sijui? He spit with no rhymes,..yan nyimbo zake zinabebwa na melody and beat, otherwise hamna anachochana, mashairi na uandishi ni zero kabisa. Huyu ni mwanamziki wa kuimba, sio kuchana.
 
Brother live Billnas kwa mtu anaejua HIP HOP hawez kumlinganisha KINGZILAH kwan king ni motoooo! Dogo anabebwa na melody
 
Brother niseme kwel KINGZILAH ni msanii ambae mimi binafsi namkubal sana his real 50Cent wa bongo heshma kwako kingzlah
 
Brother live Billnas kwa mtu anaejua HIP HOP hawez kumlinganisha KINGZILAH kwan king ni motoooo! Dogo anabebwa na melody
unajua maana ya usanii, kimojawapo ni melody, joh makini leo anafika mbali kupita akina fid q sababu ya ubunifu sio unachanachana tu hata jigga mwenyewe hafanyi hizo sikuhz, mziki biashara
 
Tatizo tunamvisha viatu ambavyo havimtoshi. He is not hip hop artist, labda mziki mwingine ila sio hip hop. Ata joh huwezi kumfananisha na huyu dogo, joh ana rhymes, ana uandishi wa kueleweka, anaflow ya hip hop. Sasa uyu dogo sijui anaimba nini, yani anatamka tamka maneno tu.
 
sawa hafanyi hiphop tatizo linatoka wapi, as long as anapata mawe ya kutosha kumsomesha inatosha
 
ni kweli anajiona star sana..
afu hatujamkubali kiviile...
anahitaji kujitambua pia kuwatambua wabongo ni watu wa aina gani..
wakiamua kukutema hata uimbe nini hawatakuelewa...
 
Billnas yuko vizuri na mimi sijaziona hizo dharau zinazosemwa anazo,ila kama amewahi kutamka kuwa Zilla anatafuta kiki kwake hapo kafeli na pia yeye kutotambua mchango wa T.I.D ni kufeli kwa aina ya pili. Lakini ki ukweli yuko vizuri, hizo za kusema haendi kii hip pop hayana nafasi kwa sasa kama hujazi mkwanja mifukoni.
 
Wadau bila shaka kama ww ni mfuasi wa nyimbo za kizazi kipya utakuwa unampata Msanii billnass Anaetamba kwa wimbo wa LIGI NDOGO na CHAFU POZI nymbo ambazo zmemfanya msanii huyu kujikuta star kupita kias hata awapo kwenye live interview zake amekuwa akijibu maswali kwa mapozi utadhani yy ndie legend wa mziki wa hip hop Tanzania si hapo tu dogo huyo huyo ameshindwa kutambua thaman ya radah intertainment ambayo ndio kampuni iliyomfanya afke hapo alipo pia kando ya yote anashindwa kutambua japo Thaman ya msanii T.I.D Ambaye ndie aliyefanya wimbo wake wa ligi ndogo upate shabiki wengi na kumfanya awe billnas...!

Angalizo dogo usipobadilika tutakupoteza kwenye hii industry ya mziki kwan wenzako waliokuja kwa style zako wapo wanauza mitumba!!
T.I.D kawa chiz cku iz akihojiwa anaongea ujinga tuu. Ukimsaidia mtu Co kwamba kila kitu unataka akufanyie
 
Wadau bila shaka kama ww ni mfuasi wa nyimbo za kizazi kipya utakuwa unampata Msanii billnass Anaetamba kwa wimbo wa LIGI NDOGO na CHAFU POZI nymbo ambazo zmemfanya msanii huyu kujikuta star kupita kias hata awapo kwenye live interview zake amekuwa akijibu maswali kwa mapozi utadhani yy ndie legend wa mziki wa hip hop Tanzania si hapo tu dogo huyo huyo ameshindwa kutambua thaman ya radah intertainment ambayo ndio kampuni iliyomfanya afke hapo alipo pia kando ya yote anashindwa kutambua japo Thaman ya msanii T.I.D Ambaye ndie aliyefanya wimbo wake wa ligi ndogo upate shabiki wengi na kumfanya awe billnas...!

Angalizo dogo usipobadilika tutakupoteza kwenye hii industry ya mziki kwan wenzako waliokuja kwa style zako wapo wanauza mitumba!!
Rada ni mizinguo tu, isitegemee mtu ataendelea kuwanyenyekea Kisa TID alisaidia kumtoa sema rada wanataka kuonekana Miungu watu mambo hayaendi hivyo afu hayo yote yanakujaga mtu akishapanda chart so rada wanachonga ili dogo aonekane afai ila billnass hanaga tatizo na mtu
 
sawa hafanyi hiphop tatizo linatoka wapi, as long as anapata mawe ya kutosha kumsomesha inatosha
Mlengo wa argument yako upo wapi? Sina tatizo na anavyopata pesa, tatizo langu ni hiyo hip hop anayofanya na kumfananisha na watu kama ziziii.
 
ni kweli anajiona star sana..
afu hatujamkubali kiviile...
anahitaji kujitambua pia kuwatambua wabongo ni watu wa aina gani..
wakiamua kukutema hata uimbe nini hawatakuelewa...
Aige kwa wenzake waliohit kwa song 2 na kujizolea umaarufu na wakazikosa nidham kwa waliowatoa kwa sasa wapo wap[emoji205] [emoji205]
 
Wadau bila shaka kama ww ni mfuasi wa nyimbo za kizazi kipya utakuwa unampata Msanii billnass Anaetamba kwa wimbo wa LIGI NDOGO na CHAFU POZI nymbo ambazo zmemfanya msanii huyu kujikuta star kupita kias hata awapo kwenye live interview zake amekuwa akijibu maswali kwa mapozi utadhani yy ndie legend wa mziki wa hip hop Tanzania si hapo tu dogo huyo huyo ameshindwa kutambua thaman ya radah intertainment ambayo ndio kampuni iliyomfanya afke hapo alipo pia kando ya yote anashindwa kutambua japo Thaman ya msanii T.I.D Ambaye ndie aliyefanya wimbo wake wa ligi ndogo upate shabiki wengi na kumfanya awe billnas...!

Angalizo dogo usipobadilika tutakupoteza kwenye hii industry ya mziki kwan wenzako waliokuja kwa style zako wapo wanauza mitumba!!

!
!
Okey.... Haya tii ai dii mnyama tumekusikia.
 
Mkuu humjui billnas!

Kwa kweli simjui, ndio maana napenda nikikuta nyuzi za nisiowajua niwaone na sura zao na kujua miziki yao.

Labda miziki naweza kuwa nimeusikia ila sijui nani kaimba wala jina la muimbaji pia. Au sijasikia na sura nimeona ila sijui ni nani na wala ameimba nyimbo gani.
 
Kwa kweli simjui, ndio maana napenda nikikuta nyuzi za nisiowajua niwaone na sura zao.
Wadau kwa msaada mwenye pcha ya billnas aquote coment ya@mzurimie na aishare hapa tumsaidie mimi bnafsi sina na sipend kuwa na pcha ya msanii mwenye dharau na nidham kwa wakubwa zake
 
Nimesikiliza interview nyingi za huyu dogo lakini sijawahi kuona hizo dharau...T.I.D na Godzilla walimuattack kwenye social media lakini kwenye kila interview dogo akihojiwa kuhusu hizo issue anajibu in a very positive way..Hajawahi Kumdiss Tid wala Zilla
Billnas huwa anajibu fair sana. Hata akiulizwa kuhusu T.I.D huwa anajibu vizuri wala haoneshi dharau kabisa. Tatizo lipo kwa mnyama
 
Back
Top Bottom