Jayden News
Member
- Aug 28, 2022
- 29
- 94
Billnass amesema “Mimi wakati mke wangu anajifungua nilikuwepo hospitali na nilimuona process zote ni kitu ambacho kilinitesa sana niliona ni nusu ya kifo, nililia sana kuna muda mwingine unaona hujui kama atakuwa salama, nimezidisha mapenzi niliyokuwa nayo kwa mwanamke wangu."