Billnass adai kushuhudia mkewe akijifungua, asema ni nusu ya kifo

Unajua maana ya msamba kuchanika au mnabwawaja upuuzi tu humu ndani nyie ndo wale wanaume vichwa zero halafu hamna hofu ya Mungu ,pili mnatelekeza wanawake zenu bila pesa ya matumizi wala matibabu hamtoi
unajua maana ya semi kumlalia dereva ambaye ni kaka au mdogomtu na kumgeuza chapati na bado wanaume tunaukusanya mwili hatua nyingne zinafuata.Mwanaume siku zote inatakiwa aishi kama mwanaume

Hata mzazi anapofariki wazee wa zamani wanakuambia hairuhusiwi dadaz waone chozi la mwanaume.

Billnas kazngua tuu.

la mwsho mwanaume haitakiw uwe na maelezo marefu.toa mafupi yenye kueleweka bas.
 
Umenikumbusha njia ya chalinze segera semi imechochora upande wa kulia ikaenda kupanda ngema ikashindwa ikarudi kulalia barabarani lakini katika purukushani zote hizo kondakta nae akawa yuko katika harakati za kujinasua bahati mbaya kibini ya semi ilivyolalia barabarani ikalalia miguu yake yote miwili.

Mwanaume yule miguu imesagika lakini bado macho makavu anaelekeza waokoaji nini cha kufanya ili yeye aweze kuchomoka pale nkasema kuwa uwanaume sio kudindisha dudu tu.
 
Members mnaomcheka bilnas mnanishangaza sana hivi mnadhani kushuhudia uzazi ni mchezo mchezo kuna aliyewahi kati yenu [emoji2372]
Mimi mwenyewe pale Amana nilishuhudia labor mtoto anatoka nililia na kuogopa mnoo!!Tena nilikua labor na miye najifungua
Hawajui wangejua wangeufyataa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu cha kumliza mwanaume kwenye process yote...

Sasa mwanaume ukilia, nani atayempa nguvu mwanamke ya ku-push?

Hata wanaozalisha huwa wanategemea uwepo wa mwanaume labor room/delivery room ni kwa ajili ya kumsaidia mama atoe mtoto huku akipewa faraja...
Mi nikiwa katika hali hiyo nakuwaga na hasira za chui, kumuona msababishi wq hayo natamani nimrarue vipande vipande,, nakumbuka siku hiyo baba mtoto alikatiza nikamuona dirishani nilipiga kelele za atoke haraka sitaki kumuona na manesi walimtimua chap
 
Hahah, sasa hasira yatoka wapi mama?

Au huwa waona chanzo ni yeye cha wewe kuwa labor?
 
Wanadamu ni wanyama nakwambia tena, nakuwaga mbogo yani, hasa pale pa kupush😂😂,, nawekaga meno kwenye godoro au vyuma vya kitanda,, nikishika nondo za dirisha lazima ipinde,, halafu ndo uone mtu anajipitisha,,, kiukweli huu uzungu bado ila ijayo nina mpango wa kujaribu
 
Umenikumbusha njia ya chalinze segera semi imechochora upande wa kulia ikaenda kupanda ngema ikashindwa ikarudi kulalia barabarani lakini katika purukushani zote hizo kondakta nae akawa yuko katika harakati za kujinasua bahati mbaya kibini ya semi ilivyolalia barabarani ikalalia miguu yake yote miwili.

Mwanaume yule miguu imesagika lakini bado macho makavu anaelekeza waokoaji nini cha kufanya ili yeye aweze kuchomoka pale nkasema kuwa uwanaume sio kudindisha dudu tu.

Hata kwenye ajali wanasema mtu anaepiga kelele hajaumia vizuri ila wale wakimya sometimes ndio huwa wameathirika zaidi ndani kwa ndani. Sijui lakini kama ni ukweli au la
 
Back
Top Bottom