Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Ile kitu inatanuka na kurudi umbile la awali, nyie ndo mnafanya wadada waombe upasuaji,, ingekuwa kuzaa kunamaliza utamu basi kila mwanamke angezaa mara moja na asiipate mwanaume wa kumrudia lkn tunaona hata wenye watoto 5 bado anatafutwa na madumeInategemea, kama nikikutana na bwawa lazma niwe kiba1OO au waliofanyiwa overhaul!