Billnass adai kushuhudia mkewe akijifungua, asema ni nusu ya kifo

Billnass adai kushuhudia mkewe akijifungua, asema ni nusu ya kifo

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila wanaume wa jf mmejikatia tamaa na maisha hadi sio poa. Stress zitawaua jamani[emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Members mnaomcheka bilnas mnanishangaza sana hivi mnadhani kushuhudia uzazi ni mchezo mchezo kuna aliyewahi kati yenu 🤷🏼‍♀️
Wanamcheka kwasababu wengi wetu hiyo experience tuliishaipitia miaka thelathini iliyopita. Sema tu hatukwa celebrities. Kwahiyo tunapomuona Dogo anavyoweweseka leo tunajiinulia glasi zetu za Konyagi na kucheka kidharaaaaau!!!!
 
Wanamcheka kwasababu wengi wetu hiyo experience tuliishaipitia miaka thelathini iliyopita. Sema tu hatukwa celebrities. Kwahiyo tunapomuona Dogo anavyoweweseka leo tunajiinulia glasi zetu za Konyagi na kucheka kidharaaaaau!!!!
Mmmh Mtoto wa shule ya kweli haya uliyoandika 😁
 
umuangalie mkeo akijifungua ili iweje? That's useless, i don't like the things that drain my mood.
 
Billnass amesema “Mimi wakati mke wangu anajifungua nilikuwepo hospitali na nilimuona process zote ni kitu ambacho kilinitesa sana niliona ni nusu ya kifo, nililia sana kuna muda mwingine unaona hujui kama atakuwa salama, nimezidisha mapenzi niliyokuwa nayo kwa mwanamke wangu."

Ruge akifufuka anamla tena
 
Maneno yanavyomtoka utazan hana michepuko 😂😁
wanawake hata mfanyiwe jambo gani hamuachi kutuandama?

Kubebishwa kote huko kupewa appreciation kwa viwango vyote hivyo

hamuoni ni jambo jema tayari mshabetua midomo na kuwaza michepuko?

hivi mnataka muwe peke yenu kwa kizuri kipi hasa special mnacho offer mkuu?

mwanaume anapoonyesha thamani hebu ipokeeni,mambo ya michepuko achaneni nayo

Ubwabwa ni mtamu ila hata uknipa ugali mlenda ni mtamu sana ninaposifia na kuthamini ubwabwa muwe mnaona sio kwamba hatujui kuna ugali na vyakula vingine.

Ni haki yake nengatronix kutoa namna anavyojiskia ni ukweli na ni pure love kaonyesha hata adakwe kesho kasaliti ila ukweli wa aliyoyatamka utabaki pale pale.

wote tunajua dhambi ni mbaya na tunatubu kila siku nyumba za ibada ila hatukomi tunafanya tena na tena na Maisha yanaenda na J2 kansani kama kawaida.

Muacheni nenga atoe ya moyoni.
 
Ebu atuondoleee ujinga!
Binafsi kwenda kuangalia naona ni aina mpya ya udharilishaji
Halafu ukute wakati anamtazama akijifungua alimrekodi video......Siku Nandy akimzingua video anaiuza kwa Mange kimambi
 
Back
Top Bottom