chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,531
- 2,912
Una uhakika sijashuhudia?! Ndio maana simshangai ‘Mvulana’ akilia.Unapata ujasiri wa kuandika hapa juu ujashuhudia ile process yenyewe billnass kama alijitia kiherehere cha kuingia kwenye chumba cha kujifungulia lazima alie