Billnass adai kushuhudia mkewe akijifungua, asema ni nusu ya kifo

Billnass adai kushuhudia mkewe akijifungua, asema ni nusu ya kifo

Wanadamu ni wanyama nakwambia tena, nakuwaga mbogo yani, hasa pale pa kupush😂😂,, nawekaga meno kwenye godoro au vyuma vya kitanda,, nikishika nondo za dirisha lazima ipinde,, halafu ndo uone mtu anajipitisha,,, kiukweli huu uzungu bado ila ijayo nina mpango wa kujaribu

All in all, hands up to all ladies (hata wanyama jinsia ya kike)

Ile process ya kutoa mtoto si mchezo...
 
HV s huyu kijana kipindi fln nae alirecodi video akimpiga nandy vidole makalioni ama siyo huyu baadae baada tukio Hilo binti akaonekana akiwa analilia ktk msiba wa rugee kumbe walikuwa wapenzi duh wanawake jmn

Nn maana ake Kama ruge angekuepo hai na kumuoa nandy mnk Ni kwamba Bado nandy Angedelea kugegedwa na billnas tu kiwiziwizi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Na ndio maana tunashauri kuoa mwanamke anayekuhusudu zaidi. Mwanamke mwenye love na wewe ile ya kudata na wewe hawezi kukusaliti kizembe hata siku moja mbaya zaidi ukiwa companion wake.

Everytime she wanna be around you, travel with you, you laugh alot and make endless conversations with alot of charm. Bro thats the woman you gotta marry, provided hana tabia za hovyo kama uchoyo,ubinafsi na kiburi.
 
Back
Top Bottom