kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Case closedWavulana ni wengi kuliko Wanaume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Case closedWavulana ni wengi kuliko Wanaume.
Members mnaomcheka bilnas mnanishangaza sana hivi mnadhani kushuhudia uzazi ni mchezo mchezo kuna aliyewahi kati yenu 🤷🏼♀️
Sijataja wavulana au wasichana hiyo unajua wewe mkuuUnahisi wote ni ‘Wavulana’ kama ‘Wavulana’ wenu wa siku hizi?!
Bilnas amesema “Mimi wakati mke wangu anajifungua nilikuwepo hospitali na nilimuona process zote ni kitu ambacho kilinitesa sana niliona ni nusu ya kifo, nililia sana kuna muda mwingine unaona hujui kama atakuwa salama, nimezidisha mapenzi niliyokuwa nayo kwa mwanamke wangu.
Kila mtu ana jinsi anavyohuzunika au kumaliza machungu kwani wewe mkuu hukuwahi kulia kwa umri huo na kama ulilia niambie ni sababu gani zilikuliza🤷🏼♀️Tatizo sio kushuhudia, tumeshaingia na kuona process yote mwanzo Hadi mwisho. Shida ni hapo kwenye kulia sana.
Ndio maana zamani wanaume hawakuruhusiwa kuingia theaterWavulana ni wengi kuliko Wanaume.
Members mnaomcheka bilnas mnanishangaza sana hivi mnadhani kushuhudia uzazi ni mchezo mchezo kuna aliyewahi kati yenu 🤷🏼♀️
Kila mtu ana jinsi anavyohuzunika au kumaliza machungu kwani wewe mkuu hukuwahi kulia kwa umri huo na kama ulilia niambie ni sababu gani zilikuliza🤷🏼♀️
Mimi Nina watoto wanne wawili nimeshuhudia tukiomwanzo mwisho Wala silingiMembers mnaomcheka bilnas mnanishangaza sana hivi mnadhani kushuhudia uzazi ni mchezo mchezo kuna aliyewahi kati yenu [emoji2372]
Shida yenu ndio hii yaani kwamba mimi Mwanaume siwezi kulia kumbe unaacha sumu mwilini mpendwa panapo hitaji kulia usijizuie liaaa tena ikiwezekana kwa sauti😬😁😁Hakuna kitu cha kumliza mwanaume kwenye process yote...
Sasa mwanaume ukilia, nani atayempa nguvu mwanamke ya ku-push?
Hata wanaozalisha huwa wanategemea uwepo wa mwanaume labor room/delivery room ni kwa ajili ya kumsaidia mama atoe mtoto huku akipewa faraja...
Kila mtu ana namna yake ya kupokea tukio kwani Mwanaume akilia ni dhambi.Mimi Nina watoto wanne wawili nimeshuhudia tukiomwanzo mwisho Wala silingi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Upo mpendwa za masiku😁[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani alikua na mimba?Kwani Nandy kajifungua
NHIF watawadhamini.Hawa bana wanataka wabongo muda wote wawe wanawafatilia
Haya sasa lini wataandaa tamasha ili watu wakawaone na mtoto wao huyo
Ova