Jayden News
Member
- Aug 28, 2022
- 29
- 94
Kwani Nandy kajifungua
Tatizo la kukatwa ‘Govi’ na ganzi ndo hili. Unafikiri ujasiri atautoa wapi?
Aibu Gani Hii
Analia Nini? Kweli Huyo Ni Mvulana Kakimbilia Majukumu Tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Kushuhudia mtu unayempenda akichanika mnadhani mchezo kila kitu mnajikuta wajuajiii
Bilnas amesema “Mimi wakati mke wangu anajifungua nilikuwepo hospitali na nilimuona process zote ni kitu ambacho kilinitesa sana niliona ni nusu ya kifo, nililia sana kuna muda mwingine unaona hujui kama atakuwa salama, nimezidisha mapenzi niliyokuwa nayo kwa mwanamke wangu.
Ngoja nikae kimya kwanzaNililia sana
Unahisi wote ni ‘Wavulana’ kama ‘Wavulana’ wenu wa siku hizi?!Members mnaomcheka bilnas mnanishangaza sana hivi mnadhani kushuhudia uzazi ni mchezo mchezo kuna aliyewahi kati yenu 🤷🏼♀️