Bima ikiiva piga moto jengo

Bima ikiiva piga moto jengo

Sasa kesho sizonje ataangalia vipi kile kipindi chake pendwa cha 360 sjui
 
Utapeleka makato ya Bima kila mwaka hadi lini bila wewe kulipwa?

Bima ikishakomaa na kuiva tayari kulipwa piga moto kitu ulivyowekea bima kisha ongea na watu wawili watatu wa bima haswa wa uchunguzi wa moto ili waandike ripoti isiyoonyesha uzembe au kusudi bali iwe BAHATI MBAYA.

Baada muda mfupi jiandae kupokea MIJIHELA ya kufa mtu! Hizo ndio mbinu za kulainisha VYUMA VILIVYOKAZA

Mapovu RUKSA....!
Kwa hiyo kumbe Ule moto siyo kazi ya naniliu??
 
Nimekuelewa mkuu,
Sasa fanya assumptions kuwa mie ni mfanyabiashara mkubwa ndio nikawapanga vijana wangu so wakavamia kwangu usiku kutaka fedha ambazo mchana nilitoka nazo bank ila nikapeleka kwenye manunuzi mengine so baada ya kukosa pesa tukachezea kichapo cha maana (ili fake ionekane real) nikatandikwa kisu cha mkono na kuzimishwa then nikaburuzwa nje kisha nyumba ikapigwa moto wakati huo sijitambui vijana haooo wakayeya

Iwapo nyumba yangu nailipia bima kila mwaka na nikachoka nataka nilipwe nijenge jumba jipya,
1) je nyie kama assessors kwa scene hiyo mnagundua vipi ni planned?
2) Inachukua muda gani hadi kupatiwa pesa za kunyanyua mjengo mwingine?
Mimi siyo assessor ila naandika kwa uzoefu.

Kwanza kama fedha ilikuwa ndani au lah hilo ni wewe ndiyo unalijua. Unatakiwa uthibitishe kweli kulikuwa na fedha ndani. Kwa hiyo hapo tayari ni mtihani.

Pili itabidi assessor atafute connection ya kuibiwa fedha na uchomaji wa nyumba. Swali ni kuwa kama majambazi wamechukua chao ni vipi wahangaike kuchoma nyumba? Tayari ni mashaka mengine hayo. Utasababisha mlolongo mrefu wa uchunguzi. Usisahau pia Bima/assessor atahitaji kupata report ya mwisho ya uchunguzi wa Police. Kwa muda huo wote familia yako mmepanga!!!

Mwisho labda tukio lote lisiache alama yeyote ya mashaka. Likiacha mashaka mlolongo wa shauri lako utachukua muda mrefu kwisha!
 
Kiongozi ukisoma Kwa makini hapo sijasema pesa ilikua ndani ila wamehisi nina pesa ndani ila wakakosa so wakaamua kunisulubisha kwa kuntia kisu then kuniburuza nje na kunitandika na kuzimishwa (ili tukio lisiweke mashaka)then wakanipiga kamba na kisha kupiga moto nyumba yote ikateketea...
Mpaka hapo huyo assessor ataweza vipi kubaini ni igizo hilo?
 
Niwe specific. Kwanza tukio lako litavutia uchunguzi zaidi. Kumbuka hawa assessors tayari wana uzoefu na matukio kama hayo. Si jambo jipya!!

Lazima wao na Polisi wajiridhishe kuwa hakuna mashaka juu ya tukio hilo.

Narudia hakuna kipya katika njama za aina hiyo!!

Ukichomoka basi bahati yako
 
Bado maelezo yako yana walakini...kwamba Majambazi wamekose fedha waliyodhani unayo then wachome nyumba kisa wamekosa hiyo fedha...Kwenye insurance kuna kitu kinaitwa Proximity cause of loss...itabidi utueleze vizuri....you have to disclose all material fact relating to loss....
 
Exactly.
Na ndicho nalilichojaribu kumueleza.
Hapo kutakuwa kuna series za uchunguzi na pengine kutofidiwa
 
Vyuma vimekaza mpaka watu wanawaza kujilipua wao nafamilia zao namali zao ili walipwe aisee
 
Back
Top Bottom