BIMA (INSURANCE): Uliza chochote kuhusu biashara ya Bima

Je Unaweza kukatia bima hatari zisizo za kawaida kwa mfano bima ya talaka (pale utakapoachana na mwenza), furaha (malipo ikiwa umepoteza furaha), kazi (kulipwa ikiwa utapoteza kazi) n.k. kwa mfano huko majuu wanakatia bima mpaka makalio na manyonyo (kina Kim K n wengine).
 
Kwa jinsi unavorespond nadiriki kusema kwamba umekwiva na umeutendea haki uzi.

Naomb kuuliza kuhusu bima ya afya; ninaweza kupata bima ya afya mimi peke yangu? Maana nimeona nyingi zinazungumzia familia au kikundi.
 
Ndio mkuu unaweza kupata Bima ya afya wewe peke yako.

Kwa ushauri zaidi fika AAR Insurance utapata huduma hiyo bila shaka.

Karibu
 
Nikitaka kukatia bima nyumba yangu, masharti ni yapi? ntakua nalipa kwa mwezi au mwaka? calculation zikoje?
 
Broker na Agent commission percent zinalingana?kama hazilingani ni nini kinachowatofautisha na kwanini broker na agent ni vitu viwili tofauti.
 
Zinasaiidia sana Bima. Lakini kwa upande wa Life insurance kwa apa Tanzania. Bado azijawa nyingi
 
Habari wana jamii forums,

Kumekuwa na maswali mengi kuhusiana na Bima (Insurance).

Thread hii itakuwa special kwa ajili ya kuuliza, kujibu, kujadili, kukosoa, kutoa maoni kuhusu Bima (Insurance).

Karibuni nyote.

N.B: Huu ni mjadala, ni ruksa kujibu maswali/ swali ambalo mwanajukwaa atauliza.
Naomba kujuzwa jinsi ya kutambua bima fake na orginal kupitia sim ya mkononi
Asante kwa elimu hii, this is helpful
 
Samahani mkuu nifafanulie hapo kwenye cheti cha awali na pesa ya usajili shingapi ?
Je Unaweza kukatia bima hatari zisizo za kawaida kwa mfano bima ya talaka (pale utakapoachana na mwenza), furaha (malipo ikiwa umepoteza furaha), kazi (kulipwa ikiwa utapoteza kazi) n.k. kwa mfano huko majuu wanakatia bima mpaka makalio na manyonyo (kina Kim K n wengine).
Ukipoteza kazi iyo ipo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii(NSSF,PSSSF)...1 unaweza lipwa nusu mshahara kwa muda wa miezi 6,,,,,2 unaweza saidiwa kutafutiwa kazi nyingine... but ili ayo yote yatokee n lazima ukamilishe baadhi ya vigezo na msharti(nimesahau vile vifungu 7bu n ving Sana vinachanganya[emoji23] but mfn n lzm ue umefanya kaz kwa muda wa miaka kadhaa,pia ata ukipewa iyo fidia ya nusu mshahara bado haitazid miez6)...Pia itategemeana na ulivopoteza iyo kaz mfn(kuumwa,ulemavu wa maisha apo n utakua umepata vigezo vya kua beneficiary but kama umeachishwa kazi kwa makosa yako binafs eg.umetumbuliwa hapo hautokua mnufaika) ,,,kama nimekosea sehem naomba unikosoe
 
Sawa ngoja nijaribu maana mimi si mtaalamu wa Bima ..ninaufahamu kidogo tu.......Insurance Company ndio anayebeba risk na linapotokea tatizo yeye ndio huwa yuko responsible moja kwa moja ........hizi Insurance Company pia huwa zinasaidiwa risk (kwa kiwango Fulani ) na Reinsurance Companies ambazo kazi yake ni kubeba risk kutoka kwenye Insurance Companies..........kwa Tanzania kutokana pengine na nature ya insurance business tuna Reinsurance Company moja tu ambayo ni ya Umma inaitwa TANRE .........

Insurance Companies wanafanya kazi na mawakala wao ambao ni 1) Insurance brokers 2) Insurance Agency ........tofauti ya insurance broker na agency ni kama ifuatavyo ......Insurance broker anapewa leseni ya kuruhusiwa kuhudumia Insurance Company zaidi ya moja .....while Insurance Agency unapewa leseni ya kuhudumia Insurance Company moja tu ..........ingawa baada ya miaka kadhaa insurance agency anaweza kuomba kuongeza Insurance company ila kuna limit ........hata masharti ya kuanzisha insurancy agency na insurance broker ni tofauti .......

Tanzania Insurance Regulatory Authority (TIRA) ndio mamlaka rasmi ya kusimamia BIMA hapa Tanzania na ndio wanaotoa hizi leseni.....kama kuna maelezo ya ziada kuhusu Bima website yao imetoa ufafanuzi wa kutosha kwa mambo mengi .........

Pamoja mimi binafsi kutokuwa mtaalamu wa Bima lakini kupitia BIMA nimegundua udhaifu mkubwa ktk Financial institution zetu zote kwa mfano......coordination ya mabenki na Bima ni ndogo sana ......kidogo walau siku hizi wameanza kushirikiana ............

Fikiria Kenya kuna Reinsurance zisizopungua tano while hapa ipo TANRE tu ambayo ni ya serikali .........Lakini pia kampuni nyingi za Bima (Insurance Company) zimetokea nje na za wazawa ni chache mno (sidhani kama zinazidi tatu) ........hapo utagundua tuna safari ndefu kufikia walipo wenzetu..........
1) Nini tofauti ya Co-Insurance, Re-Insurance na Facultative??

2) Umesema kampuni ya bima hufanya kazi na Broker & Agencies, what about Bancassurances?
 
Broker na Agent commission percent zinalingana?kama hazilingani ni nini kinachowatofautisha na kwanini broker na agent ni vitu viwili tofauti.
Commissions zinalingana,

Tofauti Ni Broker ana uwezo wa kuhudumia kampuni Zaid ya moja. Agency yuko limited kwa kampuni moja. Broker mkubwa, agency mdogo
 
Sawa ngoja nijaribu maana mimi si mtaalamu wa Bima ..ninaufahamu kidogo tu.......Insurance Company ndio anayebeba risk na linapotokea tatizo yeye ndio huwa yuko responsible moja kwa moja ........hizi Insurance Company pia huwa zinasaidiwa risk (kwa kiwango Fulani ) na Reinsurance Companies ambazo kazi yake ni kubeba risk kutoka kwenye Insurance Companies..........kwa Tanzania kutokana pengine na nature ya insurance business tuna Reinsurance Company moja tu ambayo ni ya Umma inaitwa TANRE .........

Insurance Companies wanafanya kazi na mawakala wao ambao ni 1) Insurance brokers 2) Insurance Agency ........tofauti ya insurance broker na agency ni kama ifuatavyo ......Insurance broker anapewa leseni ya kuruhusiwa kuhudumia Insurance Company zaidi ya moja .....while Insurance Agency unapewa leseni ya kuhudumia Insurance Company moja tu ..........ingawa baada ya miaka kadhaa insurance agency anaweza kuomba kuongeza Insurance company ila kuna limit ........hata masharti ya kuanzisha insurancy agency na insurance broker ni tofauti .......

Tanzania Insurance Regulatory Authority (TIRA) ndio mamlaka rasmi ya kusimamia BIMA hapa Tanzania na ndio wanaotoa hizi leseni.....kama kuna maelezo ya ziada kuhusu Bima website yao imetoa ufafanuzi wa kutosha kwa mambo mengi .........

Pamoja mimi binafsi kutokuwa mtaalamu wa Bima lakini kupitia BIMA nimegundua udhaifu mkubwa ktk Financial institution zetu zote kwa mfano......coordination ya mabenki na Bima ni ndogo sana ......kidogo walau siku hizi wameanza kushirikiana ............

Fikiria Kenya kuna Reinsurance zisizopungua tano while hapa ipo TANRE tu ambayo ni ya serikali .........Lakini pia kampuni nyingi za Bima (Insurance Company) zimetokea nje na za wazawa ni chache mno (sidhani kama zinazidi tatu) ........hapo utagundua tuna safari ndefu kufikia walipo wenzetu..........

Uliandika hii kitu mwaka 2014 lakini Leo hii 2022 mwanafunzi ninaesomea insurance and Risk management mwaka wa 3 naipitia hii na imeniongezea kitu kichwani..... Asante sana mkuu
#mtazamo
 
Sawa ngoja nijaribu maana mimi si mtaalamu wa Bima ..ninaufahamu kidogo tu.......Insurance Company ndio anayebeba risk na linapotokea tatizo yeye ndio huwa yuko responsible moja kwa moja ........hizi Insurance Company pia huwa zinasaidiwa risk (kwa kiwango Fulani ) na Reinsurance Companies ambazo kazi yake ni kubeba risk kutoka kwenye Insurance Companies..........kwa Tanzania kutokana pengine na nature ya insurance business tuna Reinsurance Company moja tu ambayo ni ya Umma inaitwa TANRE .........

Insurance Companies wanafanya kazi na mawakala wao ambao ni 1) Insurance brokers 2) Insurance Agency ........tofauti ya insurance broker na agency ni kama ifuatavyo ......Insurance broker anapewa leseni ya kuruhusiwa kuhudumia Insurance Company zaidi ya moja .....while Insurance Agency unapewa leseni ya kuhudumia Insurance Company moja tu ..........ingawa baada ya miaka kadhaa insurance agency anaweza kuomba kuongeza Insurance company ila kuna limit ........hata masharti ya kuanzisha insurancy agency na insurance broker ni tofauti .......

Tanzania Insurance Regulatory Authority (TIRA) ndio mamlaka rasmi ya kusimamia BIMA hapa Tanzania na ndio wanaotoa hizi leseni.....kama kuna maelezo ya ziada kuhusu Bima website yao imetoa ufafanuzi wa kutosha kwa mambo mengi .........

Pamoja mimi binafsi kutokuwa mtaalamu wa Bima lakini kupitia BIMA nimegundua udhaifu mkubwa ktk Financial institution zetu zote kwa mfano......coordination ya mabenki na Bima ni ndogo sana ......kidogo walau siku hizi wameanza kushirikiana ............

Fikiria Kenya kuna Reinsurance zisizopungua tano while hapa ipo TANRE tu ambayo ni ya serikali .........Lakini pia kampuni nyingi za Bima (Insurance Company) zimetokea nje na za wazawa ni chache mno (sidhani kama zinazidi tatu) ........hapo utagundua tuna safari ndefu kufikia walipo wenzetu..........
Tofauti kati ya Insurance Broker na Insurance Agent ni kama ifuatavyo;

1. Uwakilishi.

Insurance broker humuwakilisha mteja katika masuala yote ya bima, inapotokea claim, broker hufuatilia na kusimamia affairs za mteja.

Insurance Agent huwakilisha kampuni husika katika masuala yote ya bima, inapotokea claim, agent huwa upande wa kampuni.
 
1) Nini tofauti ya Co-Insurance, Re-Insurance na Facultative??

2) Umesema kampuni ya bima hufanya kazi na Broker & Agencies, what about Bancassurances?
Nowdays mabenki pia yamejikita katika uuzaji wa insurance products mfano kama vile CRDB kushirikiana na kampuni mbali mbali za BIMA kama vile SANLAM jubilee britam NIC na wengne wameingia ubia kuuza Bima hii kitu tunaita BANCASSURANCE yaani uuzaji wa Bima kupitia Mabenki
 
Tofauti kati ya Insurance Broker na Insurance Agent ni kama ifuatavyo;

1. Uwakilishi.

Insurance broker humuwakilisha mteja katika masuala yote ya bima, inapotokea claim, broker hufuatilia na kusimamia affairs za mteja.

Insurance Agent huwakilisha kampuni husika katika masuala yote ya bima, inapotokea claim, agent huwa upande wa kampuni.
Totally wrong
 
[emoji777][emoji777]
 
Attachments

  • Screenshot_20221112-172623_1.jpg
    Screenshot_20221112-172623_1.jpg
    38.7 KB · Views: 29
Back
Top Bottom