wehoodie
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 1,031
- 1,013
Je Unaweza kukatia bima hatari zisizo za kawaida kwa mfano bima ya talaka (pale utakapoachana na mwenza), furaha (malipo ikiwa umepoteza furaha), kazi (kulipwa ikiwa utapoteza kazi) n.k. kwa mfano huko majuu wanakatia bima mpaka makalio na manyonyo (kina Kim K n wengine).