Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Tanzania kuna mahali kuna shida na hizi shida sio kwao kwa watawala tuliopo nao.
Ukusanyaji wa pesa ungekuwa na mpangilio mzuri hakuna mtu angeshindwa kuchangia ila mfumo uliopo sio mzuri.
Fikiria kama serikali ingeweza kuweka bima ya mwezi 2000 hata chokorohaa na wasio jiweza wangelipa maana elfu mbili kuipata ni rahisi.
kwa hesabu tuseme watanzania wapo milioni 62 x 2000 unapa sawa na Kiasi cha 124,000,000,000 TZS (shilingi za Tanzania bilioni mia moja na ishirini na nne).
Hapa ujaongeza wizara ya afya bajeti yake,ujaweka misaada toka nje,ujaweka kodi za halmashauri.
Kila mwezi tulikuwa tuna uwezo wa kujenga Hospital mpya kama jengo la DAWASA.
kila mwezi tunauwezo kila wilaya kuwa na vifaa ambayo sio lazima kufata muhimbili na nchi za nje.
Any way ndio nchi ya utawala usio na akili.