Bima ya Afya inatakiwa kuwa ni ya Serikali tu. Mfano watu milioni 62 wakilipa kwa mwezi shiling 2000. Angalia hapa

Hiyo hela itaishia kununua mav8 ya wakubwa wa bima na kufisadi pesa iyo kwa maslahi bnafsi hamna ktu hapo.
 
Mambo mengi yapo hovyo siyo bima tu hata mambo ya bank yapo hovyo vipo viymtu ni lazima viwe chini ya serikali kuu kama bima na mabank vinginevyo ufisadi utakuwa mkubwa sana na utakatishaji pesa ...tanzania tuna mabenk binafsi ya kihuni yapo kutakatisha pesa za mafisadi na kuibia wateja.
 
Mawazo ya kijinga sana angalia matibabu ya mwezi ya watanzania nagharimu kiasi gani
 
Elfu 2 kwa mwezi watu wanaweza kulipa.
Unajua kuna watu wanamaisha magumu sana ila mudu gharama za kusomesha japo kwa shida.mwezi mzima utasema kakosa 2000 .
Mwambie tu ni hivi , kati ya watanzania milio 68 ni watanzania milion 25 tu walio katika umri wa nguvu kazi. Hao wengine zaidi ya milioni 40 ni ama ni watoto au wazee, na hao milion 25 , kuna wavivu , kuna job less , kuna wanawake magolikipa n.k kwa ufupi anaonge kitu kisichowezekana. Na je matibabu ya afya kwa mwezi yana gharimu kiasi gani kwa mwezi
 
Sasa mkuu, nawe si ungezama kwenye kikokotoo kufuata wazo la mtoa mada?

Uliyoyaeleza ungeyawekea takwimu ya mfano ili tukuelewe sawasawa.
 
fanya tafiti za madawa na vifaa tiba

Wazo Zuri sana lakini bado tutakosa huduma mahospitalini kwani hakipo tunachotengeneza madawa wala vifaa tiba ,miguu bandia nayo inatupiga chenga
 
Budget ya MSD ambayo inahusuka na manunuzi ya vifaa tiba na madawa ni 770B. Hiyo 128 haifiki hata 20% ya mahitaji hayo hivyo haitoshelezi.

Mambo si marahisi kama unavyodhani
iyo bajeti ya Msd ni ya mwaka ivyo kwa hesabu za mwamba hapo ni 128B×12=1.5T ambayo ni mara mbili ya bajeti ya msd.

Ni kweli mambo sio marahisi kihivyo kama walipo kodi tu kwenye nchi hii hawazidi hata milioni 20
 
iyo bajeti ya Msd ni ya mwaka ivyo kwa hesabu za mwamba hapo ni 128B×12=1.5T ambayo ni mara mbili ya bajeti ya msd.

Ni kweli mambo sio marahisi kihivyo kama walipo kodi tu kwenye nchi hii hawazidi hata milioni 20
Bima ni kitu chengine na sio bajeti ya wizara.
 
Elfu 2 kwa mwezi watu wanaweza kulipa.
Unajua kuna watu wanamaisha magumu sana ila mudu gharama za kusomesha japo kwa shida.mwezi mzima utasema kakosa 2000 .
Utakuwa uanzungunzia wa majibu ambako nako kuna akina yakhe nao wanaishi kwa kubangaiza. Kupata elfu 2 ni shughuli pevu!
 
manina hizo hela si wanaenda kuzitafuna kina abduli, Mimi Hata Kodi silipi Kwenye hii serikali nitaenda kutibiwa Kenya Tena navuka kupitia vichochoroni
 
Bima ni kitu chengine na sio bajeti ya wizara.
Kwani Bima inalipia nini? Si malipo ya huduma, madawa na vifaa tiba vinavyotumika hospitali. Kama nchi nzima inatakiwa iwe covered maana yake dawa zote zitanunuliwa na hiyo pesa ya bima
 
Twende hivi hivi wenye kuhitaji wachange,ukiwema kwa wote wengine wataforce magonjwa ili watie hasara tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…