Bima ya afya kutoka jubilee

Bima ya afya kutoka jubilee

Hii matibabu yake ni hapa tz tu, kimatatifa inabidi unipe umri wake nikupe gharama kamili ambazo zipo kwenye daraja nne, Kisha wewe utaangalia lipi lipo ndani ya bajeti yako.

Kwa ufafanuzi vizuri na zaidi nicheki kupitia namba niliyoitoa hapo
 
Gharama inaanzia 440,000 hii nikwa mtu mmoja, wazazi yaani baba na mama ni 680,000, baba mama na mtoto mmoja ni 890,000 na baba, mama na watoto wawili ni 1,090,000/ hii ni kwa product ya jubilee afya na unatibiwa ndani ya Tanzania tu

Kwa product nyingine inaitwa Jcare hii Ina madaraja manne kuna cha Royal ambapo utaweza kupata matibabu Hadi ya milioni 80, kuna cha executive nacho unapata matibabu Hadi ya milioni 50, kuna advanced hili unapata matibabu Hadi ya milioni 30 na cha nne ni primer unapata matibabu Hadi ya milioni 15 hii product ni ya kimatatifa.

Yaani daraja la Royal na executive unaweza tibiwa katika nchi nje ya Africa na advanced na premier nchi zote za Africa Mashariki unatibiwa.

Kupata hizi za jcare sasa zinahitaji taarifa zako kwa kirefu ikiwemo idadi na umri wa wanafamilia.

Hapo nimejibu vizuri
Mbn vifurushi vyenu havilipii matibabu ya homo dialysisi
 
Je nisimpo umwa kwamwaja nzima mnaweza nirejeshea kias chochote au hata 40 % ya mchango wangu
 
Piga namba niliyoandika hapo nikufafanulie vizuri
 
Unapata huduma zote Hadi kulazwa inapobidi ila ni ndani ya nchi tu. Chukua namba hiyo nipigie nikufafanulie ama nipe namba yako nikupigie
Mkuu unamaanisha kwa Jubilee Afya?

Hii hata Sanitas hawapokei
 
Bima yenu unatibiwa Agakhan Hospital au ni kwenye hospital za michongo?

Kama Baba+Mama+watoto wawili ni 1.09m ,je ukiongeza mtoto mmoja inabidi uongeze 440k? Mbona watoto mmeweka wachache sana wakati mnajua familia za kiafrica hamna hamna mkono(watoto wa 5).
 
Habari wanajukwaa, napenda kuwakaribisha wale wote wanaohitaji kukata bima ya afya kutoka jubilee karibuni sana nitawahudumia.

Katika bima ya afya ya Jubilee unaweza kukata ya mtu mmoja, mtoto peke yake, ama familia.

Karibuni sana, kwa anayehitaji maelezo zaidi unakaribishwa kuuliza na nipo hapa kwaajili ya kuwajibu wote.
Weka bei elekezi
 
Bima yenu unatibiwa Agakhan Hospital au ni kwenye hospital za michongo?

Kama Baba+Mama+watoto wawili ni 1.09m ,je ukiongeza mtoto mmoja inabidi uongeze 440k? Mbona watoto mmeweka wachache sana wakati mnajua familia za kiafrica hamna hamna mkono(watoto wa 5).
Ndio maana jamani nimefafanua hapo juu vizuri kabisa, soma maelezo kama Bado yanakutatiza nitext nitakupigia ili nikuelekeze vizuri, ya familia ipo Bila kuangalia idadi ya watoto ulionao, ndio maana nikasema inahitaji calculations ili nikupatie gharama yake nipe umri wa baba na mama, pamoja na idadi ya watoto ambao unao chini ya miaka 18
 
Weka bei elekezi
Bei elekezi nimeshaweka na nimefafanua viwango vya kitaifa na kimataifa pia, kwa gharama za kimataifa nitajie umri kamili nikupe gharama sahihi kabisa kuliko kukutajia gharama za kubahatisha
 
Bima yenu unatibiwa Agakhan Hospital au ni kwenye hospital za michongo?

Kama Baba+Mama+watoto wawili ni 1.09m ,je ukiongeza mtoto mmoja inabidi uongeze 440k? Mbona watoto mmeweka wachache sana wakati mnajua familia za kiafrica hamna hamna mkono(watoto wa 5).
Sisi unaweza weka Hadi watoto mia ni wewe na uwezo wako tu.
 
Ndio maana jamani nimefafanua hapo juu vizuri kabisa, soma maelezo kama Bado yanakutatiza nitext nitakupigia ili nikuelekeze vizuri, ya familia ipo Bila kuangalia idadi ya watoto ulionao, ndio maana nikasema inahitaji calculations ili nikupatie gharama yake nipe umri wa baba na mama, pamoja na idadi ya watoto ambao unao chini ya miaka 18
Ok hapo nimekuelewa nikajua mna packages ya mtoto m1 na wawili kumbe inaendelea kwa idadi ya watoto ulionao.

Haujanijibu kama Agakhan hospital ocean road bima yenu hii mgonjwa anatibiwa?
 
Ok hapo nimekuelewa nikajua mna packages ya mtoto m1 na wawili kumbe inaendelea kwa idadi ya watoto ulionao.

Haujanijibu kama Agakhan hospital ocean road bima yenu hii mgonjwa anatibiwa?
Ndio anatibiwa Hadi nje ya nchi pia
 
Sasa ikija hii Bima ya afya kwa wote itakuwaje au mta merge na nhif?
 
Back
Top Bottom