kiri12
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 638
- 558
- Thread starter
- #61
Mpaka kuweka hizo gharama hawajakurupuka mkuu, zinatosha kabisa na unapata full dozi Bila ya kuongeza kiasi chochote ni vile mtu anaichukulia hiyo hela kijujuu tu lkn nakwambia hakuna mtu aliyewahi kuambiwa outpatient ama huduma nyingine imekataa katikati ya mwezi hivo hawezi kutibiwa .Sababu nimejaribu angalia outpatient ni ndogo sana 1.5mil max kwa mwaka ni ndogo sana.
NHIF nikilipa kifurushi kikubwa cha 576,000
Natibiwa bila kusumbuliwa hapo naepuka Agakhan pekee ila hosptal zote naenda....
Jaribuni weka ukweli ili mtu asijekata afu akaingia gharama
Kwanza tunamadaktari ambao Huwa wanacontrol hizo bima kwa mteja ili asije akaongezewa gharama ambazo si halisi na anachoumwa maana ukumbuke hosp Nazo zinahitaji kufanya biashara unaweza enda na kadi inapimwa malaria mwisho wasiku wanakata dawa za maradhi mengi mgonjwa unakuwa hufahamu ,
Ila sie tunautaratibu wa kufuatalia Hali ya mgonjwa Hadi pale anapokamilisha matibabu
Na unaweza kufuatalia statement yako kila mwezi ili kuona muenendo wa kadi yako kama unahitaji na ndio maana ninasema ni wewe kuangalia wapi unapata huduma nzuri na kwa kiwango Bora zaidi
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app