Bima ya afya kwa wote: Kaya 276,000 zasajiliwa

Bima ya afya kwa wote: Kaya 276,000 zasajiliwa

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Hadi Juni 2026, jumla ya kaya 276,000 zimesajiliwa katika mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, sawa na asilimia 100 ya kaya zilizolengwa katika awamu ya kwanza. Hatua hiyo inaendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi.
IMG-20260827-WA0027.jpg
 
Hadi Juni 2026, jumla ya kaya 276,000 zimesajiliwa katika mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, sawa na asilimia 100 ya kaya zilizolengwa katika awamu ya kwanza. Hatua hiyo inaendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi.View attachment 3658301
"...Hadi Juni 2026, jumla ya kaya 276,000 zimesajiliwa katika mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, sawa na asilimia 100 ya kaya zilizolengwa katika awamu ya kwanza..." Unamaanisha kaya ambazo zimelipiwa 'anual premium' na serikali kupitia utambuzi wa utaratibu wa TASAF ama? endapo ndiyo yabidi urekebishe maelezo kidogo. Je waliokwisha jisajili wenyewe kwa hiari ni wangapi?

Kwa takwimu za 2026 - Tanzania Bara ina idadi ya watu wapatao 67,877,764, na inakadiriwa chini ya asilimia 20 ya hawa wana bima ya afya 'public ama private'
 
Back
Top Bottom