Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
Ujakatazwa kujitibu mwenyeweSisi tutajitibu wenyewe, hiyo Bima ya Afya wapeni wanaohitaji kushikiwa fedha za matibabu na serikali ya majizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujakatazwa kujitibu mwenyeweSisi tutajitibu wenyewe, hiyo Bima ya Afya wapeni wanaohitaji kushikiwa fedha za matibabu na serikali ya majizi.
Uko sahihi kabisaUchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote.
Uchumi wetu: Wananchi hawana pesa ya kulipia ugonjwa ambao haujatokea wakati Kuna shida Leo inayoshindikana kutatuliwa kwa ukosefu wa pesa.
Dini na Mila: mtu mmoja ana wake na watoto wengi sana kuliko idadi inayotakiwa na bima. Mke yupi atibiwe na nani aachwe? Watoto wepi wasitibiwe?
Huduma za afya: Watu wakiwa na bima wanahamasika wengi kwenda kutibiwa hata kwa ugonjwa kidogo sana ili hela yake isipotee bure. Je, tunao watumishi wa afya wa kutosha kuhudumia ongezeko hilo? Vifaa je? Wodi je? Dawa je?
Tabia za maskini: maskini wanaugua sana kutokana na uwezo mdogo wa kufuata kanuni za afya. Kila siku watakwenda hospital.
Hata mataifa makubwa yameshindwa kutoa Bima ya afya kwa wote sembuse sisi?
Huduma zitakuwa hovyohovyo kabisa.
Ujakatazwa kujitibu mwenyewe
Sukuma gang, pole sanaNi sawa, sisi tusiotaka tusilazimishwe kuchangia kwenye mifuko ya wizi.
Hizi point zako za mwisho ni kichekesho. Kwa hiyo ugonjwa mdogo haustahili kutibiwa hospital? Maskini kuugua kila siku hayo ni makisio yako tu ama chuki kwao lakini pia kama wanalipia bima nini ubaya wakitibiwa, si ndio kiini hasa cha bima? Kwani unakata bima ili usiugue? Acheni wivu, bima ni kwa wote maskini ama tajiriHuduma za afya: Watu wakiwa na bima wanahamasika wengi kwenda kutibiwa hata kwa ugonjwa kidogo sana ili hela yake isipotee bure. Je, tunao watumishi wa afya wa kutosha kuhudumia ongezeko hilo? Vifaa je? Wodi je? Dawa je?
Tabia za maskini: maskini wanaugua sana kutokana na uwezo mdogo wa kufuata kanuni za afya. Kila siku watakwenda hospital.
Hata mataifa makubwa yameshindwa kutoa Bima ya afya kwa wote sembuse sisi?
Huduma zitakuwa hovyohovyo kabisa.
Walichukua hela za mifuko yote ya huduma za kijamii kuanzia hifadhi ya jamii, NSSF, NHC, LAPF, NHIF, PPF, nk kwenda kuendeshea serikali hadi mifuko ikafa. Hata taasisi kama muhimbili ililazimishwa kwa nguvu watoe gawio kwa serikali wakati wagonjwa hawana hata shuka za kujifunika Wala dawa.Malengo ya Serikali ya Tanzania katika suala la bima ya afya kwa wote sio Huduma! Ila wanaforce wapate hela za kusimamisha tena NHIF ili wawe wanajikopesha vizur na kula vizur hela za wananchi, kuhusu huduma ya afya tutajua wenyewe
Kutumia vitu kama kupata leseni, line ya simu au passport lazima uwe na bima ya afya haitakuwa effective kwakuwa bima ya afya inalipiwa kila mwezi au kila mwaka wakati leseni ya udereva ni kila baada ya miaka 5, Ina maana utakuwa na wanachama wengi lakini ambao hawalipi michango Yao kwenye bima.Nimefuatilia namna ya utekelezaji wa zoezi hili ulivyopangwa kutekelezwa,naamini mafanikio yatakuepo japo hitafikiwa 100% kama hivyo inavyoitwa "bima ya afya kwa wote".
Kama ambavyo unavyoona sasa kwamba huwezi pata line ya simu bila ya namba ya nida Basi na kwa issue ya bima ya afya itakuwa hivyo kwa baadhi ya mambo fulani;
Mfano huwezi pata leseni ya biashara ama leseni ya udereva ama kusajiriwa chuo chochote pasipo bima ya afya.Hapa utaona ya kwamba kwa muundo huu lazima wataongeza idadi ya watu wenye bima ya afya hili ndilo lengo.Watu wakifikiwa wengi hata kiwango chakuchangia nacho kitashuka.
Ulipolala wewe leo wenzako ndipo walipoamkia jana,wanafahamu fika nchi hii watu wake ni masikini na hakuna atakae kamatwa eti kwa sababu hana bima ya afya.
Kupitia makundi fulani kubanwa,na kwakuwa kila mnufaika atakuwa na wategemezi kadhaa,hawa masikini wengi nao watakua sehemu ya wanufaika kupitia ndugu zao waliolipa bima.
Kimsingi ukitizama kwa undani utagundua wanachokitafuta serikali ni kuongeza nguvu/pesa kwenye mfuko wa bima ya afya ya taifa ili usifilisike, na si watu wote kuwa na bima kama wengi wanavyodhani,japokuwa kama ikitokea watu wote wamekuwa na bima basi kwa serikali itakua bora pia.
Natumai nimeeleweka japo umfuko ukishatuna wanatabia yakuhamisha pesa kwenda kwenye matumizi mengine ,
Asante.
Hivyo unatoa maoni gani?Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote.
Uchumi wetu: Wananchi hawana pesa ya kulipia ugonjwa ambao haujatokea wakati Kuna shida Leo inayoshindikana kutatuliwa kwa ukosefu wa pesa.
Dini na Mila: mtu mmoja ana wake na watoto wengi sana kuliko idadi inayotakiwa na bima. Mke yupi atibiwe na nani aachwe? Watoto wepi wasitibiwe?
Huduma za afya: Watu wakiwa na bima wanahamasika wengi kwenda kutibiwa hata kwa ugonjwa kidogo sana ili hela yake isipotee bure. Je, tunao watumishi wa afya wa kutosha kuhudumia ongezeko hilo? Vifaa je? Wodi je? Dawa je?
Tabia za maskini: maskini wanaugua sana kutokana na uwezo mdogo wa kufuata kanuni za afya. Kila siku watakwenda hospital.
Hata mataifa makubwa yameshindwa kutoa Bima ya afya kwa wote sembuse sisi?
Huduma zitakuwa hovyohovyo kabisa.
Unamwambia mama yako anaeumwa kijijini kuwa nenda hospitali katibiwe SI una bima wewe? Pale kwenye zahanati anakuta foleni ndeeefu ya wagonjwa, hakuna watumishi wa kutosha na hakuna dawa. Anashinda hapo kutwa nzima na kuishia kuandikiwa cheti akanunue dawa maduka binafsi, na wagonjwa wengine wanafia kwenye foleni akisubiri zamu yake ifike. Mhudumu mwenyewe Yuko peke yake na ana madai kibao hajalipwa.Muhimu uwe na bima ya afya iwe chf, nhif, aar nk
Hawa kupangii uwe na bima gani ila uwe na bima, ukitaka bima binafsi Au hizi za kutoka serikali...
Ni mpango safi sana...
Mambo ya kuambiwa mjomba Au bibi shangazi ana umwa hana pesa hii ina tusaidia, bima unayo kwa nini usiende kutibiwa
Mtoto yupo shule ana umwa na bima anayo kwann asiende kutibiwa
Hili jambo ni safi sana
Leo ukitaka kuingia ktk baadhi ya mataifa lazima uwe na bima ya afya ndio una pewa visa ya kuingia
Ili udailiwe ktk shule zao lazima uwe na bima ya afya
Ili upewe kibali cha kazi lazima uwe na bima ya afya
Nk
Hili swala ni muhimu, kufeli kwao kusiwe sababu na sisi tufeli
Ngoja twende na tuta kapo fika na changamoto totakazo kutana nazo basi tuta tafuta namna ya kukabiliana nazo
Ngoja tuone huenda tukafaulu.Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote.
Uchumi wetu: Wananchi hawana pesa ya kulipia ugonjwa ambao haujatokea wakati Kuna shida Leo inayoshindikana kutatuliwa kwa ukosefu wa pesa.
Dini na Mila: mtu mmoja ana wake na watoto wengi sana kuliko idadi inayotakiwa na bima. Mke yupi atibiwe na nani aachwe? Watoto wepi wasitibiwe?
Huduma za afya: Watu wakiwa na bima wanahamasika wengi kwenda kutibiwa hata kwa ugonjwa kidogo sana ili hela yake isipotee bure. Je, tunao watumishi wa afya wa kutosha kuhudumia ongezeko hilo? Vifaa je? Wodi je? Dawa je?
Tabia za maskini: maskini wanaugua sana kutokana na uwezo mdogo wa kufuata kanuni za afya. Kila siku watakwenda hospital.
Hata mataifa makubwa yameshindwa kutoa Bima ya afya kwa wote sembuse sisi?
Huduma zitakuwa hovyohovyo kabisa.
Juzi nilimpeleka mgonjwa KCMC saa 4 usiku. Hana bima ya afya, hivyo ikabidi kulipia gharama. Hadi saa 7 usiku alikuwa ameshafanyiwa vipimo karibu vyote.Bima ya afya kwa wote lazima iwepo, nyie wakosoaji na wajinga wachache hamuwezi kukwamisha, mnataka watu waendelee kufa kwa marelia kwa kukosa fedha za matibabu
Jiongeze ndugu. Kinachotafutwa sio ubora wa afya ya mchangiaji bali hela ya mchangiaji!Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote.