Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Care)Rais Samia atoa TZS 149BL

Kutawala masikini wajinga ni raha sana. Watanzania idadi tupo zaidi ya 60m, sh 240bn unazo sema zimetolewa na Samia (katoa mfukoni mwake?) Ukizigawa kwa watanzania ni wastani wa sh 4000! Hizi zinatosha kwa bima ya vijijini, CHI, wakijiunga. Hii bima inatambulika kwenye zahanati na vituo vya afya ambako dawa hakuna. Hospitali ya wilaya ni shida, hazitambuliki.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hili liliongelewa hata na Msigwa miezi 2 iliyopita tena walisema wataanza na makundi maalumu ya kipaombele kama watoto na wazee,wanafunzi na wamama wajawazito.

Aisee hapa Serikali itakuwa imetudaidia Sana,,Serikali ya mama inafanya mambo makubwa nashangaa wanashindwa kuwaeleza wananchi..

Ndani ya miezi 6 amefanya mambo makubwa Sana na atafunika awamu zote zilizopita..
 
Samia kiboko
 
Kumbe Tz ina schemes nyingi za bima,hiyo CHI ipoje mkuu.
 
Kazi ya CCM ni kuiga sera za wapinzani.

Mnachoweza kufanya bila kuoga ni ufisadi tu.
 
Hebu acheni upumbafu, Rais ametoa Kutoka wapi? Kwenye mshahara wake? Hebu kueni bana, Sema "Serikali imetoa Tsh kadhaa kwaajili ya jambo flani"
kwani wewe kwa upumbavu wako ulionao unafikiri rais ni nani? rais ni taasisi samia ni kiongozi wa hiyo taasisi unafikiri hii ni kama viloe saccoss ya mbowe? hapana ni taasisi kwahiyoacha chiki zako
 
mbona hio pesa kama ndogo sana?
 
Hebu acheni upumbafu, Rais ametoa Kutoka wapi? Kwenye mshahara wake? Hebu kueni bana, Sema "Serikali imetoa Tsh kadhaa kwaajili ya jambo flani"
anakatwa kwenye mshahara kama Msando
 
kwani wewe kwa upumbavu wako ulionao unafikiri rais ni nani? rais ni taasisi samia ni kiongozi wa hiyo taasisi unafikiri hii ni kama viloe saccoss ya mbowe? hapana ni taasisi kwahiyoacha chiki zako
Upumbafu wako na ukoo wako ndio ulisababisha ukose elimu na uamini Kila mtu ni mpinzani, mentality ya kijinga Sana Hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…