Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama ni tajiri sana kuliko watanzania, yeye kila siku anamwaga mipesa tu wala hafirisiki! Hatuna sababu tena ya kugharamia bunge la bajeti kwani mama yupo na anazo.Kazi iendelee...
Pamoja na kwamba Bima ya Afya kwa wote iko kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 Ukurasa wa 136 aliyekuwa Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu alidukua kipengele hiki na kukinadi kwa nguvu kubwa wakati flani, ikaonekana kana kwamba hilo wazo la " Bima ya Afya kwa Wote "ni lake Watanzania bila kujua kuwa alilidukua toka Ilani kubwa ya chama kikubwa cha CCM, fine yamepita,
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa "Bima ya Afya " tayari ameshatenga pesa ya kuanzia kiasi cha Tshs 231.7M kwaajili ya kugharamia mpango huu kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya ya FY2021|22 hapa nataka nawale wachache waliosalia Chadema na vyama vingine vya ACT, NCCR, CUF waje CCM kuungana na Mama Samia Suluhu katika kuwaletea Watanzania maendeleo endelevu kwakuwa kila walichoahidi kwa maneno Mama Samia Suluhu anafanya kwa vitendo.
NB, Muswada wa sheria ya Bima ya afya kwa wote rasmi bungeni mwezi Nov 2021 pesa tayari ipo.
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Watu wako serious mkuuBima ya Tsh 4 kwa Kila Mtanzania!
Matibabu ya wazee na watoto ni changamoto..... Mengine haya ni siasa
Watu wako 😍😍😍 mkuu
Afya M231.7 kweli tunania ya kutibu watu??? Kwa hiyo pesa kweli??Kazi iendelee...
Pamoja na kwamba Bima ya Afya kwa wote iko kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 Ukurasa wa 136 aliyekuwa Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu alidukua kipengele hiki na kukinadi kwa nguvu kubwa wakati flani, ikaonekana kana kwamba hilo wazo la " Bima ya Afya kwa Wote "ni lake Watanzania bila kujua kuwa alilidukua toka Ilani kubwa ya chama kikubwa cha CCM, fine yamepita,
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa "Bima ya Afya " tayari ameshatenga pesa ya kuanzia kiasi cha Tshs 231.7M kwaajili ya kugharamia mpango huu kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya ya FY2021|22 hapa nataka nawale wachache waliosalia Chadema na vyama vingine vya ACT, NCCR, CUF waje CCM kuungana na Mama Samia Suluhu katika kuwaletea Watanzania maendeleo endelevu kwakuwa kila walichoahidi kwa maneno Mama Samia Suluhu anafanya kwa vitendo.
NB, Muswada wa sheria ya Bima ya afya kwa wote rasmi bungeni mwezi Nov 2021 pesa tayari ipo.
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Wale waliojipanga kuandamana huko New York vipi?
Na wale wa #MboweSiGaidi nao wanasemaje?
Viva Samia VivaClick to expand...
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?Kazi iendelee...
Pamoja na kwamba Bima ya Afya kwa wote iko kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 Ukurasa wa 136 aliyekuwa Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu alidukua kipengele hiki na kukinadi kwa nguvu kubwa wakati flani, ikaonekana kana kwamba hilo wazo la " Bima ya Afya kwa Wote "ni lake Watanzania bila kujua kuwa alilidukua toka Ilani kubwa ya chama kikubwa cha CCM, fine yamepita,
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa "Bima ya Afya " tayari ameshatenga pesa ya kuanzia kiasi cha Tshs 231.7M kwaajili ya kugharamia mpango huu kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya ya FY2021|22 hapa nataka nawale wachache waliosalia Chadema na vyama vingine vya ACT, NCCR, CUF waje CCM kuungana na Mama Samia Suluhu katika kuwaletea Watanzania maendeleo endelevu kwakuwa kila walichoahidi kwa maneno Mama Samia Suluhu anafanya kwa vitendo.
NB, Muswada wa sheria ya Bima ya afya kwa wote rasmi bungeni mwezi Nov 2021 pesa tayari ipo.
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Lissu nayeye kwanini asije CCM kama Mange na Kigogo?
Jamani raisi hana hela yake andikeni serikali na kusema jina na raisi inakuwa kama katoa pesa zake binafsi wakti si kweli hizi ni pesa za umma.Kazi iendelee...
Pamoja na kwamba Bima ya Afya kwa wote iko kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 Ukurasa wa 136 aliyekuwa Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu alidukua kipengele hiki na kukinadi kwa nguvu kubwa wakati flani, ikaonekana kana kwamba hilo wazo la " Bima ya Afya kwa Wote "ni lake Watanzania bila kujua kuwa alilidukua toka Ilani kubwa ya chama kikubwa cha CCM, fine yamepita,
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa "Bima ya Afya " tayari ameshatenga pesa ya kuanzia kiasi cha Tshs 231.7M kwaajili ya kugharamia mpango huu kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya ya FY2021|22 hapa nataka nawale wachache waliosalia Chadema na vyama vingine vya ACT, NCCR, CUF waje CCM kuungana na Mama Samia Suluhu katika kuwaletea Watanzania maendeleo endelevu kwakuwa kila walichoahidi kwa maneno Mama Samia Suluhu anafanya kwa vitendo.
NB, Muswada wa sheria ya Bima ya afya kwa wote rasmi bungeni mwezi Nov 2021 pesa tayari ipo.
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Mbona umeelewa lakini mkuu,Jamani raisi hana hela yake andikeni serikali na kusema jina na raisi inakuwa kama katoa pesa zake binafsi wakti si kweli hizi ni pesa za umma.
Hiyo ni fedha yakuanzia tu mkuu WangBima ya Tsh 4 kwa Kila Mtanzania!
Matibabu ya wazee na watoto ni changamoto..... Mengine haya ni siasa
Sijakuelewa hapa mkuuSi walisema kigogo ni marope. Kwani marope aliwahi kutoka CCM?
M
Sijakuelewa hapa mkuu
Kazi iendelee...
Pamoja na kwamba Bima ya Afya kwa wote iko kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 Ukurasa wa 136 aliyekuwa Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu alidukua kipengele hiki na kukinadi kwa nguvu kubwa wakati flani, ikaonekana kana kwamba hilo wazo la " Bima ya Afya kwa Wote "ni lake Watanzania bila kujua kuwa alilidukua toka Ilani kubwa ya chama kikubwa cha CCM, fine yamepita,
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa "Bima ya Afya " tayari ameshatenga pesa ya kuanzia kiasi cha Tshs 231.7M kwaajili ya kugharamia mpango huu kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya ya FY2021|22 hapa nataka nawale wachache waliosalia Chadema na vyama vingine vya ACT, NCCR, CUF waje CCM kuungana na Mama Samia Suluhu katika kuwaletea Watanzania maendeleo endelevu kwakuwa kila walichoahidi kwa maneno Mama Samia Suluhu anafanya kwa vitendo.
NB, Muswada wa sheria ya Bima ya afya kwa wote rasmi bungeni mwezi Nov 2021 pesa tayari ipo.
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania.
" Hakuna kama Samaia "
Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF) pamoja na benki ya dunia ( WB) wameanza kuzisaidia nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania mikopo yenye masharti nafuu ili pesa hizo zitumike kama Economic Stimulus & Relief Fund na hapa muelewe vizuri Tanzania tunapokea mikopo na misaada ila "HATUITEGEMEI " ndio maana hata kwenye bajeti yetu hii ya FY2021|22 katia ya Tshs 36.33trl zilizotengwa pesa zetu ni 91.9% huku misaada na mikopo ikiwa ni 8.1% tu,
IMF tayari imeisaidia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu kiasi cha Tshs 1.3trl kwaajili ya kusisimua Uchumi wake uliodorora kwasababu ya covod-19 kwani niukweli usiopingika Tanzania tumeumizwa zaidi kwenye Sekta za Utalii,biashara na Usafirishaji,
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia pesa hizo na baada ya kutoa madarasa ya kisasa elfu 15 sawa na wastani wa madarasa manne kwenye kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima huku kipaumbele kikiwa ni shule zenye upungufu wa madarasa lakini furaha iliyoje Rais wetu ametoa tena jumla ya madawati 462,795 ambayo ni sawa na Wastani wa madawati 120 kwenye kila Shule ya Sekondari nchi nzima ambazo jumla ya shule hizo ni 3,863.
Sababu za Rais Samia Suluhu Hassan kutoa madarasa mapya manne ya kisasa na madawati mapya 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima ni kuhakikisha wazazi wa watoto watakaojiunga na kidato cha kwanza mwakani katika mwaka wa masomo 2021|2025 hawalipi hata Shilingia mia moja kwani Rais wetu mnyenyekevu ameshalipa pia ada za watoto wote 1M wanaotakiwa kuanza shule siku moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022,hii haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu,
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1971181