Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Care)Rais Samia atoa TZS 149BL

Bima ya Tsh 4 kwa Kila Mtanzania!

Matibabu ya wazee na watoto ni changamoto..... Mengine haya ni siasa
 
Ngoja tuone, Bima ya Afya kwa wote siyo lala mama...
 
Huyu mama ni tajiri sana kuliko watanzania, yeye kila siku anamwaga mipesa tu wala hafirisiki! Hatuna sababu tena ya kugharamia bunge la bajeti kwani mama yupo na anazo.
 
Afya M231.7 kweli tunania ya kutibu watu??? Kwa hiyo pesa kweli??
 
Mrudishe magonjwa makubwa kwenye bima sio kutuachia magonjwa ya elfu kumi mpaka laki kwenye bima halafu yale ya mamilioni mmeyaondoa
 
Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

#HONGERA RAIS SAMIA
 
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 
Jamani raisi hana hela yake andikeni serikali na kusema jina na raisi inakuwa kama katoa pesa zake binafsi wakti si kweli hizi ni pesa za umma.
 
Jamani raisi hana hela yake andikeni serikali na kusema jina na raisi inakuwa kama katoa pesa zake binafsi wakti si kweli hizi ni pesa za umma.
Mbona umeelewa lakini mkuu,


#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Bima ya Tsh 4 kwa Kila Mtanzania!

Matibabu ya wazee na watoto ni changamoto..... Mengine haya ni siasa
Hiyo ni fedha yakuanzia tu mkuu Wang

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…