King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mbona haujasomwa huo muswada wa bima ya afya kwa wote? Mbona Waziri naye analeta tantalila?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasomwa lazima mkuuMbona haujasomwa huo muswada wa bima ya afya kwa wote? Mbona Waziri naye analeta tantalila?
Bima ya Afya kwa Wote Tanzania yaani ( Universal Health Care-UHC ) Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya TZS 149BL ili kila Mtanzania ifikapo 2030|35 awe na bima ya afya,
" Hakuna kama Samia "
Pamoja na kwamba Bima ya Afya kwa wote iko kwenye Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 Ukurasa wa 136 aliyekuwa Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu aliidukua kipengele hiki na kukinadi kwa nguvu kubwa wakati flani, ikaonekana kana kwamba hilo wazo|agenda ya Bima ya Afya kwa Wote au " Universal Health Care " ni lake Watanzania bila kujua kuwa Lissu alilidukua tu toka Ilani kubwa ya chama kikubwa cha CCM, fine yamepita.
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa "Bima ya Afya na kutekeleza ilani ya CCM tayari ameshatenga pesa ya kuanzia kiasi cha Tshs 149BL kwaajili ya kugharamia mpango huu kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya ya FY2021|22.
Mpango huu utatekelezwa kwa awamu awamu hadi kufikia mwaka 2030|35 kila Mtanzania atakuwa na UHC huku katika awamu hii ya kwanza UHC itazihusu kaya masikini zinazokadiriwa kufikia 20% ya kaya zote 12.827M za Tanzania,
Kwa kasi hii Rais Samia nataka nawale wachache waliosalia kule Chadema au vyama vingine vidogo vidogo vya ACT, NCCR, CUF wote waje CCM ili tuungane na Mama Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea Watanzania hawa maendeleo endelevu kwakuwa kila walichoahidi kwa maneno kwenye Ilani zao Mama Samia Suluhu Hassan anafanya kwa vitendo.
Muswada wa sheria ya Bima ya afya kwa wote rasmi bungeni mwezi Nov 2021 pesa tayari ipo hivi "Nani kama Samia".
VIVA TANZANIA || VIVA SAMIA VIVA
Nani katapeliwa ?Utapeli mtupu.
Bima ya afya ya kutoa paracetamol. Kama sio utapeli ni nini?Nani katapeliwa ?
Ila nihatua nzuri tukubaliane hivyo,Bima ya afya ya kutoa paracetamol. Kama sio utapeli ni nini?
Mange na kigogo ni makada wa chama na wanachama hai wa ccm tangu enziLissu nayeye kwanini asije CCM kama Mange na Kigogo?
Usanii mtupu.Ila nihatua nzuri tukubaliane hivyo,
Hakuna kama Samia nasema, Mimi ni CHADEMA
Bima ya Afya kwa Wote Tanzania yaani ( Universal Health Care-UHC ) Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya TZS 149BL ili kila Mtanzania ifikapo 2030|35 awe na bima ya afya,
" Hakuna kama Samia "
Pamoja na kwamba Bima ya Afya kwa wote iko kwenye Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 Ukurasa wa 136 aliyekuwa Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu aliidukua kipengele hiki na kukinadi kwa nguvu kubwa wakati flani, ikaonekana kana kwamba hilo wazo|agenda ya Bima ya Afya kwa Wote au " Universal Health Care " ni lake Watanzania bila kujua kuwa Lissu alilidukua tu toka Ilani kubwa ya chama kikubwa cha CCM, fine yamepita.
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa "Bima ya Afya na kutekeleza ilani ya CCM tayari ameshatenga pesa ya kuanzia kiasi cha Tshs 149BL kwaajili ya kugharamia mpango huu kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya ya FY2021|22.
Mpango huu utatekelezwa kwa awamu awamu hadi kufikia mwaka 2030|35 kila Mtanzania atakuwa na UHC huku katika awamu hii ya kwanza UHC itazihusu kaya masikini zinazokadiriwa kufikia 20% ya kaya zote 12.827M za Tanzania,
Kwa kasi hii Rais Samia nataka nawale wachache waliosalia kule Chadema au vyama vingine vidogo vidogo vya ACT, NCCR, CUF wote waje CCM ili tuungane na Mama Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea Watanzania hawa maendeleo endelevu kwakuwa kila walichoahidi kwa maneno kwenye Ilani zao Mama Samia Suluhu Hassan anafanya kwa vitendo.
Muswada wa sheria ya Bima ya afya kwa wote rasmi bungeni mwezi Nov 2021 pesa tayari ipo hivi "Nani kama Samia".
VIVA TANZANIA || VIVA SAMIA VIVA
Nzuri sana

Ni serikali imetoa au Samia ... Kuna ujimga mwingi sana katika viongozi wetu na waandishi

Yote ni Sawa chukua unalotakaNi serikali imetoa au Samia ... Kuna ujimga mwingi sana katika viongozi wetu na waandishi
Halipo hapo ukinipa kinyeo chako ntashukuru sana ..Yote ni Sawa chukua unalotaka
CHADEMA mnalaana alreadyHalipo hapo ukinipa kinyeo chako ntashukuru sana ..
ZerooNiliwaambia Samia sio mtu wa mchezomchezo,
Mama anahesabu kali Sana,
Haya anayoyafanya wenzake wote waligwaya,
Samia atavunja rekodi huyu Mama,
Sisi tunamwombea heri kwa Allah,
View attachment 1946062
Kazi nzuri sana hii, Hongera Rais Samia
WapiZeroo
AmenTumshukuru Mungu kwa kutuletea Rais tajiri.