Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Care)Rais Samia atoa TZS 149BL

Mbona haujasomwa huo muswada wa bima ya afya kwa wote? Mbona Waziri naye analeta tantalila?
 

Utapeli mtupu.
 
Hakuna kama Samia nasema, Mimi ni CHADEMA
 
Nzuri sana
 
Ni serikali imetoa au Samia ... Kuna ujimga mwingi sana katika viongozi wetu na waandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…